RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

Eti "those people are very smart"! Smart katika WIZI na uhujumu alright!
Unawajua vizuri walio-engineer ufisadi wa hela ya Escrow? Au unabubujikwa Povu tu! Kama una ushahidi mpeleke aliyekwepa KODI ya makontena kwenye vyombo husika.
Issue ya Rada kamuulize Basil Mramba ...sijui ni wa wapi huyo?
Wa kujitafakari ni Wewe na hao wezi wenzako. Awamu hii mtanyooka tu.
Weka list ya watuhumiwa wa hela ya escrow hapa tuone ni akina nani. Au kusikia wako smart ndo unaogopa. Hilo la kunyooka halita kaa litokee those people they have been in school na huwa wanajielewa sana ndo maana siyo watu wakuimba mapambia kama wewe
 
Asilimia kubwa sana ya hawa jamaa wana Chuki na ubinafsi/ukabila wa ajabu sana kupita maelezo.
Nimefanya nao kazi katika Taasisi za serikali na binafsi, nimeishi na kushirikiana nao katika shughuli za kijamii...kwa hiyo nawajua vilivyo mkuu.
Hii Chuki waliyonayo kwa Mh. Rais wa JMT ni Dhahiri. Inapelekea mpaka kuwakejeli na kuwakashifu WASUKUMA na watu wa Kanda ya ziwa.
Asilimia kubwa ya hawa jamaa ni Wezi, wahujumu uchumi, wabadhilifu na wabinafsi sana. Bila kusahau wengi wao ndio walikuwa na Vyeti feki huko katika Taasisi za umma.
Kwa tabia za aina hiyo ni hakika pasi na shaka Watakuwa na Sumu ya Chuki kali sana kuliko hata Arcenic na Cyanide combined.

JPM anashughulikia wahujumu Taifa. Asilimia kubwa ya Wahujumu wa Taifa hili ni hao wanaomchukia na kusambaza Sumu ya Chuki na Ukabila katika Taifa letu kwa sasa.
Muda utaongea.

NB: Mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Arusha (Masai.
JPM anawashughulikia chini ya sheria ipi? Wangapi wamefikishwa mahakamani? Mbona inaonekana kama vile ni personal vendetta
 
Olomi na Genge lake katika biashara haramu ya ulanguzi wa Kahawa.
Hata kama kweli aliwasaidia wananchi kusafirisha kupeleka Uganda, Tanzania wapandishe bei sasa unalima wewe, unahangaika wewe, bei wapange wao ,askari kafia uwanja wa mapambano, na ndio maana bukoba haiendelei
 
Kahawa tu mtu katenguliwa, lakin kontena bandarini kulitokea kigugumizi hatari,

Nini maana yake na hatma ya nchi?
Kumbuka mmoja ndio kosa lake la kwanza wakati mwingine ni imekuwa kawaida..lakini pia mzee alishasema ye hapangiwi..mambo haya mlikuwa mnapangia jk..ndio maana alimtumbua anna tibaijuka sababu ya maneno ya watu.
 
Nitaanzia wapi!? Wakukuumiza sio mimi....JPM atosha. Mtanyooka tu awamu hii. Mpaka miaka 7 iishe mtakaa sawa na kuheshimu Tanzania.
Hakuna mpuuzi yeyote kutoka Tanzania atakaefanya chochote kwa nchi.Mimi nawe tutabakia mashabiki maandazi tu.Mi naona ni bora wewe unaowatibu wapenzi wako maana.Umejiita daktari wa mapenzi.Ila kuhusu maendeleo tuishie kuimbishana ngonjera na kutukanana tu kama wasusi wa vibarazani.
 
Mbona umalizii ameapa kutii katiba, sheria na kutenda haki sawa kwa wote. Na ndio chief of comfort na si vinginevyo.
Lazima muumkumbushe bwana Juma haya kila mnapomtukuza na kiongozi kazi zake kufundisha walio chini yake sio fukuza na weka ndani tu.
Hakuna tatizo wala hakuna sheria inayozuia Mh Rais kusimamisha RPC.kwanza naomba ifahamike kuwa Mh Rais ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yote,kwa sababu hiyo yeye ndio kiongozi mkuu wa majeshi yote.pili yeye ndiye mwenye mamlaka yasiyo na kizuizi chochote maana ndio mkuu wa nchi.kwa sababu hiyo Rais kumsimamisha kamanda wa mkoa ni sawa.
 
JPM anawashughulikia chini ya sheria ipi? Wangapi wamefikishwa mahakamani? Mbona inaonekana kama vile ni personal vendetta
Personal vendetta kwa kipi!? Be serious...
Tatizo ni kwamba wengi wenu ni wezi na wahujumu uchumi. JPM ana allergy na watu wa aina hiyo.
 
Hata kama kweli aliwasaidia wananchi kusafirisha kupeleka Uganda, Tanzania wapandishe bei sasa unalima wewe, unahangaika wewe, bei wapange wao ,askari kafia uwanja wa mapambano, na ndio maana bukoba haiendelei
Hii ndio attitude ya MAJIZI ilipotufikisha hapa. Mtanyooka tu awamu hii.
 
Kwani hujui kuwa chini ya utawala huu wa awamu ya tano, Katiba ya nchi na sheria nyinginezo zimekuwa "suspended" na kinachotamba kwa hivi sasa ni ONE MAN SHOW??
Bora umesema ww. CCM hawataki kuskia mzee wao dikteta
 
Hakuna mpuuzi yeyote kutoka Tanzania atakaefanya chochote kwa nchi.Mimi nawe tutabakia mashabiki maandazi tu.Mi naona ni bora wewe unaowatibu wapenzi wako maana.Umejiita daktari wa mapenzi.Ila kuhusu maendeleo tuishie kuimbishana ngonjera na kutukanana tu kama wasusi wa vibarazani.
Weekend hii nina ratiba za kwenda kupiga picha pale Mfugale Flyover...nikupitie mkuu!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom