RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

Kwani hujui kuwa chini ya utawala huu wa awamu ya tano, Katiba ya nchi na sheria nyinginezo zimekuwa "suspended" na kinachotamba kwa hivi sasa ni ONE MAN SHOW??
jana kuna uzi alileta quinine kwamba mbona zile ziara za kustukiza na kutumbua majipu hatuzisikii,mkaponda ooh! ilikua nguvu ya soda, one man show,haya sasa,mwendo mdundo huo,mteteeni kaonewa
 
I feel sorry for him, lakini kwa nini unamzungumzia yeye peke yake na sio wale wengine? Nilivyokusoma mleta mada una hidden agenda, sio kazi kuitambua hiyo agenda. Mimi nadhani tungejikita zaidi kudiscuss Kama hizo hatua zilizochukuliwa ni sahihi au zipo a little bit harsh, na sio kuanza kujadili hayo unayoyataka mleta mada.
Wale jamaa na majina yao hawachelewi kudai wamelengwa
 
Hakuna tatizo wala hakuna sheria inayozuia Mh Rais kusimamisha RPC.kwanza naomba ifahamike kuwa Mh Rais ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yote,kwa sababu hiyo yeye ndio kiongozi mkuu wa majeshi yote.pili yeye ndiye mwenye mamlaka yasiyo na kizuizi chochote maana ndio mkuu wa nchi.kwa sababu hiyo Rais kumsimamisha kamanda wa mkoa ni sawa.
Uko sahihi kabisa..Wala hii si mara ya kwanza...Mwaka 1996 aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya YOHANA MAPUNDA alistaafishwa kazi na Rais BENJAMIN WILLIAM MKAPA kwa manufaa ya umma..Baadae mwaka huo pia aliyekuwa RPC Dar es salaam TRYPHON MAJI naye alistaafishwa na Rais MKAPA kwa manufaa ya umma...Hivyo hakuna kigeni hapo,..
 
Kipi upelekea kustaafishwa kabla ya muda wako kufika wa kustaafu... Na ukistaafishwa una pata stahiki zako? Au una kula mshaara bila kuvaa gwanda
 
Uko sahihi kabisa..Wala hii si mara ya kwanza...Mwaka 1996 aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya YOHANA MAPUNDA alistaafishwa kazi na Rais BENJAMIN WILLIAM MKAPA kwa manufaa ya umma..Baadae mwaka huo pia aliyekuwa RPC Dar es salaam TRYPHON MAJI naye alistaafishwa na Rais MKAPA kwa manufaa ya umma...Hivyo hakuna kigeni hapo,..
Mkuu wengi ya watoto wanaopiga kelele humu walikua hawajazaliwa,ndo maana kuhoji kwingi,na kuhisi kuonewa
 
Rais sio mjinga..ukiona amesimamishwa ujue kuna madudu yake kafanya
Uwe na akiba ya maneno. Miongoni mwa wakuu wa kwanza kwanza kutumbuliwa ni DCI Diwani Athmani. Lakini tuliojua sakata tulisema humu majungu si mtaji Diwani kaonewa, kwa vile sakata la utumbuaji lilikuwa ndo habari ya mjini, wengi mlitutukana lakini Leo bila aibu Diwani huyohuyo aliyetuhumiwa kuwakingia kifua majangili wa meno ya tembo na IGP akapigwa mkwara na mtumbuaji "Ungediriki kumtetea na wewe ungekwenda naye, ni MKUU WA TAKUKURU. What a shame?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom