RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

So wale walokwepa kodi ya makontena ya furniture ndo hao hao. Hata kwa ile list ya hela ya esrow wao ndo walotajwa huko list ya rada na ufisadi wote wao ndo walotajwa huko. Jitafakari ndugu. Those people are very smart acha kutokwa povu lisilo na utafiti
Eti "those people are very smart"! Smart katika WIZI na uhujumu alright!
Unawajua vizuri walio-engineer ufisadi wa hela ya Escrow? Au unabubujikwa Povu tu! Kama una ushahidi mpeleke aliyekwepa KODI ya makontena kwenye vyombo husika.
Issue ya Rada kamuulize Basil Mramba ...sijui ni wa wapi huyo?
Wa kujitafakari ni Wewe na hao wezi wenzako. Awamu hii mtanyooka tu.
 
Kwa sasa Himaya mnayojenga kwa kisingizio cha awamu hii, inawaonea, kitawagharimu soon. Hakuna asiyejua kuwa asilimia 90 ya wanaomchukia JPM, ni nyie.

Shauri yenu, moto mnaoupekecha, sijui nani atauzima
JPM anachukiwa kwa maovu yake
 
Kuagizwa kwa Katibu Mkuu na IGP kuwasimamisha kazi waliotajwa ili kupisha uchunguzi sio KUWAFUTA KAZI! mjadala ulivyo ni kama wamefutwa kazi. Na PM ndio kamuomba President amsaidie hilo, ili uchunguzi ufanyike. Nimependa huo ushirikiano wa hawa wakuu.
 
Eti "those people are very smart"! Smart katika WIZI na uhujumu alright!
Unawajua vizuri walio-engineer ufisadi wa hela ya Escrow? Au unabubujikwa Povu tu! Kama una ushahidi mpeleke aliyekwepa KODI ya makontena kwenye vyombo husika.
Issue ya Rada kamuulize Basil Mramba ...sijui ni wa wapi huyo?
Wa kujitafakari ni Wewe na hao wezi wenzako. Awamu hii mtanyooka tu.
Dogo unachemka
 
Kwa sasa Himaya mnayojenga kwa kisingizio cha awamu hii, inawaonea, kitawagharimu soon. Hakuna asiyejua kuwa asilimia 90 ya wanaomchukia JPM, ni nyie.

Shauri yenu, moto mnaoupekecha, sijui nani atauzima
Usibishane na ukweli mkuu! Ki ukweli wachagga wana wakati mgumu sana awamu hii!
 
Ngoja nikuulize swali moja, kama Rais angekuwa fair kweli tungeendekea kweli kuwa naye Bashite hadi Leo, bila kutumbuliwa??
Leo ni mwaka wa3 wa urais wake; amefanya kazi kubwa ya miundo; ameleta nidhamu ya woga kazini; amefanikiwa katika mengi kwa mbinu hasi. Hajawahi kuwa fair!
 
Kwa sasa Himaya mnayojenga kwa kisingizio cha awamu hii, inawaonea, kitawagharimu soon. Hakuna asiyejua kuwa asilimia 90 ya wanaomchukia JPM, ni nyie.

Shauri yenu, moto mnaoupekecha, sijui nani atauzima

Tatizo ana chuki za kikabila na anazionyesha wazi wazi kivitendo.
 
Kama kasimamishwa basi ni kwa sababu ni Mchaga.Nchi hii kwa sasa wachaga hawatakiwi na katika wadhifa wowote, jiwe anawachukia sana
Mtu yeyote, wakati wowote, atakayepambana na wezi ktk nchi hii, lazima ataonekana anapambana na Wachaga... Hii n kwa sababu wezi wengi wa serikalini ni wao, wavamia mabenki ni wao, benki zinazotumika kupitisha hela za wizi zinaoongozwa na wao, wauza cha Arusha ni wao, majangili ni wao. Wako kama Wakikuyu wa Kenya, isipokuwa wao bado wanaitafuta Ikulu, na siku wakiipata tutakoma
 
Kujishughulisha na biashara kwa hulihujumu Taifa na kukwepa KODI!? Unajua ni kwa nini maduka mengi ya wachaga kariakoo yamefungwa na kukimbia biashara!? Kwa nini wahindi, wakinga na makabila mengine wanaendelea na biashara kama kawaida!?
Acheni kujitoa ufahamu wapuuzi nyinyi! Mkiambiwa ukweli mnabubujikwa POVU.
Awamu hii mtanyooka tu. JPM anawapa dozi yenu mnayostahili. Mmelifuja Taifa hili vya kutosha.
Ni kweli kabisa mfano mahoteli ,mahoteli mengi ya wakinga na wahindi yanadunda kama kawaida .Hoteli nyingi zilizofungwa na zenye hali ngumu ni za wachaga..Hoteli zao nyingi zinapumulia mashine wakati za wenzao zinadunda kama kawaida
 
Si kweli,mm mchaga lakini namkubali jiwe na hata uchaguzi ukirudiwa asubuhi hii nampa kura.Hoja ni kuhusu uhalali wa ikulu kumsimamisha ina swihi au la!
Kupiga kura ni haki yako ya kikatiba, lakini usitarajie kuteuliwa kushika wadhifa wowote mkubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom