GE2025 RPC Marko Chilya: Hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi

GE2025 RPC Marko Chilya: Hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimeziona Toyota double cabin mpya (zero kilometer) za kutosha eti kwa ajili ya uchaguzi! Aisee haya mambo yanaogopesha mpaka basi. Kama kuna watu walikuwa wanambip, sasa ameamua kupiga.

NB:- Mwanamke siyo kiumbe wa kushindana naye!
Mwanamke mpumbavu sio wa kumpa nafasi muhimu ya kiongozi sehemu yoyote ile hata ngazi ya mtaa.

Huyu mzanzibar nahisi sasa hivi anatumia resources nyingi sana kwenye ulinzi wake binafsi dhidi ya raia kuliko hata ulinzi wa taifa kwa ujumla..

Nakimbuka mwaka 2022 bajeti nzima ya JWTZ ya mwaka ilikuwa kitu kama 700b, kumbuka hiyo ni kwa ajili ya kucover shughuli zao zote za kijeshi.

Haya sasa hivi kaandaa 400b kwa ajili ya mapolisi wamlinde kwenye uchaguzi tu.... hii inatuonesha kwamba akilini mwake ameshapitisha kuwa maadui wake wakubwa kwa sasa ni wanainchi wa tanganyika.
 
halafu nyinyi ndio mange anawasubiria muingie rodini.....
Na nyinyi kuhongwa magari mapya na Mzanzibari, tauri mnaona ni halali kuwaua Watanganyuka wenzenu ili mtawaliwe kirahisi na akina Chivayo. Akili mkaa kweli kweli.
 
Vizazi hivi haviibuki tu vintengenezwa
Wao ndio wanavitengeneza bila kujua..
Kadri unavyomzingua paka 🐱 huzidi nyanyua mkia 🐈.

Inawezekana isiwe kizazi chetu ila vijavyo vitashindwa uvumilivu na uwoga...
Angalia mabadiliko toka 1990 mpaka leo.
Ama 2005 tu na leo kuna utofauti mkubwa sana,
 
Back
Top Bottom