DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya vurugu au uhalifu kuelekea siku ya kupiga kura ya uchaguzi mkuu itakayofanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marko Chilya, ametoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na mwandishi wa habari wa Bongo FM, kuhusu mikakati ya Jeshi la Polisi katika kuimarisha amani kabla na wakati wa uchaguzi.
RPC Marko amesema Jeshi la Polisi mkoani humo limejiandaa kuimarisha ulinzi na usalama huku akionya wale wanaofikiri kuwa wanaweza ‘kuzuia’ uchaguzi usifanyike.
Soma Pia: GE2025 - Kamanda Chilya: FFU si ‘Fanya Fujo Uone’, huo si utendaji wetu wa kazi