Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza hayo Novemba 4, 2025 mbele ya Wanahabari Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Amesema kuwa Jeshi hilo lilitumia busara na weledi kuwatawafanya raia wachache ambao walionekana kuanza kuchoma matairi kwenye baadhi ya maeneo ya Mji wa Moshi
Soma pia GE2025 - Polisi Kilimanjaro yawaachilia huru vijana 300 waliokamatwa kwa kudaiwa kushiriki maandamano ya Oktoba 29