assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
sasa tatizo hapo ni nini anachosema lema hapo ni ukweli mtupu na watu wa kwanza wanaotakiwa kupelekwa the hague ni wao wanaoshindwa kufanya kazi zao kwa weledi mpaka hayo aliyo yasema lema yanatokea.MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.
Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu
Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard
Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha
Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua
Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini
Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..
Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi
Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii
Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani
huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.
Uliza kwa nini wauaji raia bila sababu hawachukuliwi hatua?Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?
cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu
Lema namzarau sana asijitafutie ubunge kwa vifo vya watu mshenz kwel
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?
cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.