aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,739 Jul 26, 2013 #1 Wadau mwenye ufahamu kidogo aniambie inakuaje malikia elizabeth hajamuachia mtoto wake madaraka na sasa wanadai madaraka atapewa mjukuu? Imekuaje watoto wake wakarukwa? Na je vipi kama angekufa huyo mjukuu hajazaliwa?
Wadau mwenye ufahamu kidogo aniambie inakuaje malikia elizabeth hajamuachia mtoto wake madaraka na sasa wanadai madaraka atapewa mjukuu? Imekuaje watoto wake wakarukwa? Na je vipi kama angekufa huyo mjukuu hajazaliwa?