Royal bundle

Mudi_kidato

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
146
Reaction score
184
Habar nashindwa jibu comment maana admin haja approve ombi langu lakin lain ya Royal bundle mb ni bila kikomo ndan ya cku 30 yan hata utumie vipi haziiish ni no limit
 
Habar nashindwa jibu comment maana admin haja approve ombi langu lakin lain ya Royal bundle mb ni bila kikomo ndan ya cku 30 yan hata utumie vipi haziiish ni no limit
mb ni bila kikomo ila speed sio,,
ukipita kiwango cha mb walizoziweka wanashusha speed,speed inakuwa kama ya konokono,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…