Routes za daladala zilizoleta mapinduzi DSM

WANGEANZISHA ROUT YA KIGAMBONI-GOBA
KUPITIA
NYERERE BRIDGE-MANDELA ROAD-TAZARA-NYERERE ROAD-INAINGIA MAJUMBA SITA-KINYEREZI-MBEZI MWISHO-GOBA [emoji38][emoji38][emoji38]
Hahahahaha nauli itakuwa kama unaenda mkoa vile
 
Ruti nyingi huanzishwa na wenye magari wakiona faida wanaongeza magari ukiona ruti imefutika jua haina faida.

Kawe Segerea imaua Simu2000 Segerea gari zimebaki chache
 
Makumbusho. -. Mabwepande
Makumbusho. -. Mbweni
G/mboto. - Mbagala, hii route watu wake wana tabu si kitoto.
 
Mambo ya route kuanzishwa nmemkumbuka mwaibula
Sjui huyu mwamba yuko wapi sahvi

Ova
Anagonga beer mitaa ya Sinza kijiweni..
ndiko anakokaa....
anagongea beer kwa mbaali kimtindo...
alikuwa baba mwenye nyumba wa jamaa yangu....
 
@Kidukulilo una maoni gani kuhusu wachangiaji wa hii mada🤣🤣
 
hapa dar sijui gari za wapi hwa hazijazi.

lakini huwa najiuliza kwanini route ya masaki/kariakoo gari zake zimechoka namna ile[emoji23][emoji23][emoji23].watoto wa kinondoni/msasani/masaki mlishirikishwa katika hili swala au hujuma tu???
 
hapa dar sijui gari za wapi hwa hazijazi.

lakini huwa najiuliza kwanini route ya masaki/kariakoo gari zake zimechoka namna ile[emoji23][emoji23][emoji23].watoto wa kinondoni/msasani/masaki mlishirikishwa katika hili swala au hujuma tu???
[emoji23] hili ni kweli aisee, gari za kutoka k/koo kwenda masaki nyingi zimechoka mno.
 
Ruti nyingi huanzishwa na wenye magari wakiona faida wanaongeza magari ukiona ruti imefutika jua haina faida.

Kawe Segerea imaua Simu2000 Segerea gari zimebaki chache
Kwa hyo mtu akinunua tu eicher lake anajiandikia tu Bunju-Buza?
 
Route ya Kisemvule~Gerezani inajaza sio masihara. Ina vituo lukuki bandari zote, mivinjeni, uhasibu, mtongani, mbagala yote( Zakhiem Maji matitu, rangi tatu) , kongowe, vikindu na kisemvule kwenyewe. Sema sasa zile gari kupanda kama ndo unatoka k/koo jioni sharti uwe na msuli hasa [emoji23].
 
WAMEUA RUTI YA MBEZI TO K.KOO JAPO ILIKUWEPO MIEZI MICHACHE YA MWANZONI TANGU WALIPOLETA MWENDOKASI.

1234
 
Route ya Kisemvule~Gerezani inajaza sio masihara. Ina vituo lukuki bandari zote, mivinjeni, uhasibu, mtongani, mbagala (Zakhiem , rangi tatu) , kongowe, vikindu na kisemvule kwenyewe. Sema sasa zile gari kupanda kama ndo unatoka k/koo jioni sharti uwe na msuli hasa [emoji23].
 
@Kidukulilo una maoni gani kuhusu wachangiaji wa hii mada[emoji1787][emoji1787]
Atakwambia,,,

"Hivi kuna watanzania bado wanapanda daladala?ooh c'mon guys...kabisa mtu unapanda daladala na unajiona uko sawa. Tafuteni pesa jamani muendeshe magari. Alafu utakuta mtu anaendesha Toyota nae anasema ana gari. Are you serious? Nunueni magari watanzania muache kupanda Toyota na daladala."
 
Toa maoni yako basi.
Unaponda na unashindwa kuweka mawazo yako baada ya kuona uko duniani wanafanyaje mmh?
 
Sawa tumesha jua wewe na ukoo wako mzima mna miliki magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…