kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,753
Hata hii route pia si rahisi kutokea kwasababuMbezi to Sinza jamani kuna ulazima gani wa kupanda gari mbili? Kwann gari zisiunge tu nowadays barabara ya mawasiliano kutokea Sinza Madukani ni lami ya kiwango tu kwanini kusiwepo na route ya Mbezi to sinza via Mawasiliano road!??
Kwenye hili la route ya Buguruni to Mbezi kuna kitu kimoja unapaswa uelewe, kuna sehem hapa Dar ni transit stations yaan hizo sehem zipo within a route ikiwemo Buguruni
Chanzo cha kuondolewa route ya Mbezi- Buguruni ni uwepo wa routes za Temeke-Mbezi so far hizi daladala ziko nyingi kwahiyo sasa abiria wote wa Buguruni wanamezwa na hizi daladala
Route nyingine iliyoondolewa ni ile ya Muhimbili-Buguruni, chanzo pia cha kuondolewa route hii ni uwepo wa routes za daladala mbalimbali kwenda Muhimbili kupitia Buguruni kutokea Tabata Chang'ombe, Segerea, Kg/Sokoni, K/Viwandani, Kinyerezi and the likes
Na huku arusha ruti sio rafiki sijui kwa sababu ya mji ulivyo kama unatumia vifodi unajikuta kuna mahali bodaboda inakuhusu kama sio reggae!
Gerezani to kiponza via kilwa road.
Gerezani to mbande kisewe kilwa road.
Muhimbili to kisewe/magenge via kilwa road.
Stesheni to mmbande kisewe/magengeni.
Gerezani to mmbande magengeni via chan'gombe road
Gerezani to mmbande lufu via kilwa road
mbagala tunajichagulia tu sikuhizi hakuna shida Kama ya zamani
Sasa bibie si unaishi kimara,halafu unakwepa mwendokasi?Mwendokasi apande nani?
Sasa bibie si unaishi kimara,halafu unakwepa mwendokasi?
Makumbusho _ Mlonganzilaaaa.Wa mkoani wanaona mapichapicha,,,,hahaaahahahaaaaTukizungumza kama hivi wadau watakuwa wanapata taarifa, tunaweza kuwa sehemu ya mabadiliko
Uhitaji pia na movement za watu baina ya pande hizo mbili, kuna sehem route zake ni za kufikirika... si rahisi hata kutokea ila ingawa kama zikiwepo zinaweza ku function. Tatizo ndo hilo la uhitaji na uwingi wa watuRuti ya MABIBO kwenda ukanda wa MASAKI na KAWE nashangaa bado mpaka leo sijui wanakwama wapi.
Yaani mfano kutoka tu hapa MOROCCO ya airtel to MABIBO inakulazimu upande gari 2.
Mbezi to Sinza jamani kuna ulazima gani wa kupanda gari mbili? Kwann gari zisiunge tu nowadays barabara ya mawasiliano kutokea Sinza Madukani ni lami ya kiwango tu kwanini kusiwepo na route ya Mbezi to sinza via Mawasiliano road!??