Router zinahitajika

Router zinahitajika

Zero Sumu

Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
72
Reaction score
225
Mwenye Router mojawapo kati ya hizi PM tufanye biashara

Location: DSM

Sio lazima ziwe mpya. [emoji120][emoji120]
FB_IMG_15882320283392215.jpg
images%20(6).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shombe la Kisomali japo umefuta comment yako lakini nakujibu..

Router ni device ambayo inasaidia kufanya routing ya data(internet) ili ziigie kwenye device nyingine..
Zitoke kwenye modem ziingie kwenye switch ziingie kwenye router.. router inaanza kuzipitisha ziingie kwenye laptop, desktop,simu, printer
 
Sawa, mkuu sema nilishatafuta kwa dictionary so nikaona nisikusumbue ila asante
 
Back
Top Bottom