BABA BOMBASTIC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 349
- 570
Habari
Kwa 170000 unapata router ya 5g ya airtel 0781 493401
Kwa 170000 unapata router ya 5g ya airtel 0781 493401
Ni 110 airtel na bando la mwezi mmoja.Habari
Kwa 170000 unapata router ya 5g ya airtel 0781 493401
Hiii unanunua kifurushi cha 50000Ni 110 airtel na bando la mwezi mmoja.
ajabu,badala ya yeye kusema 60,000Halafu Airtel wao wanauza 110k 😂
Mmmh.Hiii unanunua kifurushi cha 50000
Kifurushi 50000ajabu,bafala ya yeye kusema 60,000
Elimu ya chombo au bandoSamahani sana wakuu Mimi naomba kupewa elimu juu ya maana na matumizi sahihi ya router Nina amini kupitia ufafanuzi huo wenye elimu ndani yake itasaidia na wengine pia Kwa namna moja ama nyingine
Hebu toa maelezo yakutisha sasa mkuu,kumbe yako kifurushi 50k.Elimu ya chombo au bando
Kamuulize mama yako ananijua vyemaMuuzaji zippo kweli kichwani?
Nijieleze vipi kwani hapo nimeongea kichina chukua namba nitafute acha uswahiliHebu toa maelezo yakutisha sasa mkuu,kumbe yako kifurushi 50k.
Iongelea hiyo bidhaa yako watu wavutiwe nayo,weka na picha.
Au wewe ni mtoto mdogo huwezi kujielezea?
Elimu ya chombo yaani router ni Nini na inafanyaje kaziElimu ya chombo au bando
Mbona unawafokea wateja?😂😂😂Nijieleze vipi kwani hapo nimeongea kichina chukua namba nitafute acha uswahili
Wateja au mateja,Mbona unawafokea wateja?😂😂😂
Hii ni maajabu! Airtel wanauza 110k na kifurushi cha 110k humohumo (kifupi router ni bure) wewe unakuja kuuza 170k kweli!!??? Kuwa serious.Habari
Kwa 170000 unapata router ya 5g ya airtel 0781 493401
Nauza 50000Hii ni maajabu! Airtel wanauza 110k na kifurushi cha 110k humohumo (kifupi router ni bure) wewe unakuja kuuza 170k kweli!!??? Kuwa serious.
Kama 30k inakufaa nachukua.Nauza 50000
Kifupi Router ni bure. Unalipia kifurushi cha 110k unapewa router na bundle la mwezi la 110k na mwezi unaofata unaweza kulipia cha 70k au 110k kulingana na uwezo na mahitaji yako.ajabu,badala ya yeye kusema 60,000