Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Inapotolewa round nyingine ya kuomba chuo haiwahusu tu wale walioomba na kukosa warudie tena na tena bali ata ambao hawakuomba kabisa kwa sbb mbali mbali it means nikama wana-extend muda wa ku-apply ili waliochelewa round za awali waweze kuomba. Kuna waliichelewa kwa sbb zifuatazo: 1 kukosa 50000 ya app 2 nauli na matumizi ya kutoka kjijini kuja town kusaka kadi za tcu 3 ukosefu wa elimu ya matumizi ya mtandao. Nk

Pia wapo ambao walikuwa jeshini hawakuweza kujaza...na waliopo ss hivi sijui itakuaje...
mim nahc na vyuo vinakataa wanafunz kutokana na matokeo yao hata kama nafac zpo
Inapotolewa round nyingine ya kuomba chuo haiwahusu tu wale walioomba na kukosa warudie tena na tena bali ata ambao hawakuomba kabisa kwa sbb mbali mbali it means nikama wana-extend muda wa ku-apply ili waliochelewa round za awali waweze kuomba. Kuna waliichelewa kwa sbb zifuatazo: 1 kukosa 50000 ya app 2 nauli na matumizi ya kutoka kjijini kuja town kusaka kadi za tcu 3 ukosefu wa elimu ya matumizi ya mtandao. Nk
Kwa jinsi nilivyoelewa tcu wanafanya hivyo kwa sababu zifuatazo;
1.Bado nafasi za kusoma ktk vyuo zipo nyingi.
2.wapo walio apply coz ambazo si sahihi kwao(wakakosa) na wana vigezo vya kusoma coz nyingine.
3.na pia kuwapa nafasi wale ambao hawaja omba kabisa wapate nafasi pia.
and this is an upcoming problem in our country yan sekta ya elim yashakuwa majanga kuanzia matokeo(yanashuka) mpk aplications nazo...mmh!
mim nahc na vyuo vinakataa wanafunz kutokana na matokeo yao hata kama nafac zpo
yawezekana kwa hvyo private versities! ushahid ni rafk yangu ana dv 3:15 ali apply Udsm na Ardhi 1st round akakosa wakat faculty aliyoomba haijajaa na xo utasemaje et wanachukua tu! Na yupo tena ktk third roundhakuna chuo kinachokataa mwanafunzi ww! hata ukiwa na 2.0 saivi unachukuliwa .we unadhani pesa za kuendeshea vyuo watapata wapi kama wakikataa wanafunzi? Tena kwa taarifa yako private versities wanatamani kuchukua hata 1.5
yawezekana kwa hvyo private versities! ushahid ni rafk yangu ana dv 3:15 ali apply Udsm na Ardhi 1st round akakosa wakat faculty aliyoomba haijajaa na xo utasemaje et wanachukua tu! Na yupo tena ktk third round
daaah kuliziba hlo gap labda kwa mfumo huu mpya wa kufaulisha wanafunzi waliofel!!vyuo vina upungufu wa selected applicants takribani 30,000 kwa hiyo kwa namna yoyete hilo gap lazima lipunguzwe kama sio kuzibwa