Engineer mussa ngelime Member Sep 3, 2021 12 5 Oct 25, 2021 #1 Samahani wana jamii forum kwa mwenye atakuwa na majina ya round ya kwanza na ya pili chuo cha udsm kwa ngazi ya masters degree naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.
Samahani wana jamii forum kwa mwenye atakuwa na majina ya round ya kwanza na ya pili chuo cha udsm kwa ngazi ya masters degree naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Jul 7, 2020 6,331 8,254 Oct 26, 2021 #2 UDSM ni anga nyingine hawatoi majina hovyohovyo, ingia kwenye account yako
Mosha Bahati Member Feb 21, 2013 78 87 Oct 27, 2021 #3 There you go Attachments 20211008_023814_UDSM_LIST OF APPLICANTS SELECTED TO UNDERTAKE POSTGRADUATE STUDIES FOR 2021-20...pdf 1 MB · Views: 64
mtzedi JF-Expert Member Dec 13, 2011 5,603 5,611 Oct 27, 2021 #4 Meneja Wa Makampuni said: UDSM ni anga nyingine hawatoi majina hovyohovyo, ingia kwenye account yako Click to expand... Ila wale jamaa mziki wa pale si mchezo,kipindi hicho nilikonda nikabaki na fuvu la kichwa.
Meneja Wa Makampuni said: UDSM ni anga nyingine hawatoi majina hovyohovyo, ingia kwenye account yako Click to expand... Ila wale jamaa mziki wa pale si mchezo,kipindi hicho nilikonda nikabaki na fuvu la kichwa.
Chris wood JF-Expert Member Dec 21, 2020 1,667 5,010 Nov 1, 2021 #7 Engineer mussa ngelime said: Thanks you wadau Click to expand... Angalia account yako ndugu mimi nilifanya application tarehe 23 october leo wamenitumia admission letter
Engineer mussa ngelime said: Thanks you wadau Click to expand... Angalia account yako ndugu mimi nilifanya application tarehe 23 october leo wamenitumia admission letter
W Wasomba JF-Expert Member Dec 19, 2016 323 475 Nov 1, 2021 #8 mtzedi said: Ila wale jamaa mziki wa pale si mchezo,kipindi hicho nilikonda nikabaki na fuvu la kichwa. Click to expand... Unaweka ukaikaribia udom?
mtzedi said: Ila wale jamaa mziki wa pale si mchezo,kipindi hicho nilikonda nikabaki na fuvu la kichwa. Click to expand... Unaweka ukaikaribia udom?
Engineer mussa ngelime Member Sep 3, 2021 12 5 Nov 3, 2021 Thread starter #9 Chris wood said: Angalia account yako ndugu mimi nilifanya application tarehe 23 october leo wamenitumia admission letter Click to expand... BRo nakuomba pm please
Chris wood said: Angalia account yako ndugu mimi nilifanya application tarehe 23 october leo wamenitumia admission letter Click to expand... BRo nakuomba pm please
Z Zawadi Ngoda JF-Expert Member Aug 13, 2009 3,805 1,873 Nov 6, 2021 #11 Mosha Bahati said: There you go Click to expand... Asante sana. UDSM ni babu kubwa mtu zaidi ya 2000 kupambana na mastere na PhD. si mchezo!
Mosha Bahati said: There you go Click to expand... Asante sana. UDSM ni babu kubwa mtu zaidi ya 2000 kupambana na mastere na PhD. si mchezo!
K KEFA PATSON Member Sep 9, 2014 30 0 Jan 28, 2022 #12 Ndugu zangu habari. Naomba kujuzwa intake ya march 2022, masters UDSM deadline lini maana najaribu kuingia kwenye admission site inasuasua sijajua kama nimechelewa au bado na kwenye tovuti yao haionyeshi deadline
Ndugu zangu habari. Naomba kujuzwa intake ya march 2022, masters UDSM deadline lini maana najaribu kuingia kwenye admission site inasuasua sijajua kama nimechelewa au bado na kwenye tovuti yao haionyeshi deadline