Engineer mussa ngelime
Member
- Sep 3, 2021
- 12
- 5
Samahani wana jamii forum kwa mwenye atakuwa na majina ya round ya kwanza na ya pili chuo cha udsm kwa ngazi ya masters degree naomba anisaidie.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wale jamaa mziki wa pale si mchezo,kipindi hicho nilikonda nikabaki na fuvu la kichwa.UDSM ni anga nyingine hawatoi majina hovyohovyo, ingia kwenye account yako
Angalia account yako ndugu mimi nilifanya application tarehe 23 october leo wamenitumia admission letterThanks you wadau
Unaweka ukaikaribia udom?Ila wale jamaa mziki wa pale si mchezo,kipindi hicho nilikonda nikabaki na fuvu la kichwa.
BRo nakuomba pm pleaseAngalia account yako ndugu mimi nilifanya application tarehe 23 october leo wamenitumia admission letter
Asante sana. UDSM ni babu kubwa mtu zaidi ya 2000 kupambana na mastere na PhD. si mchezo!There you go