Round one & two majina UDSM kwa ngazi na ya Masters Degree

Sep 3, 2021
12
5
Samahani wana jamii forum kwa mwenye atakuwa na majina ya round ya kwanza na ya pili chuo cha udsm kwa ngazi ya masters degree naomba anisaidie.

Natanguliza shukrani.
 
Ndugu zangu habari. Naomba kujuzwa intake ya march 2022, masters UDSM deadline lini maana najaribu kuingia kwenye admission site inasuasua sijajua kama nimechelewa au bado na kwenye tovuti yao haionyeshi deadline
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom