Rouhani:US watapatwa na Majuto ya Kihistoria

Rouhani:US watapatwa na Majuto ya Kihistoria

USA WAKATI HUU ANAPATA SHIDA SANA AISEE, KILA ANAPOGUSA WATU HAWAKUBALI TENA, aliishambulia SYRIA kwa vikombora vyake hakuingia kama iraq. Ulimwengu umeshashtuka now ANAPATA SHIDA SANA ETI MPAKA CHINA ANATAKA KUMUEKEA VIKWAZO hahahahahahhahaah
 
Sadam mwenyewe huyo Ayatollah alimwogopa. Hayo ni maneno ya khanga tu hayaachi kuvaliwa. Siku Ayatollah atakapojikuta DC akinyweshwa chai na Trump ndo atajua wako wanaume zaidi ya hayo majini yake.
 
Ndio kwasababu leo walio wengi Iraq hawataki kurudi enz za Sadam licha ya vita. Walio wengi Libya na afghanistab wako radhi waishi wanavyoishi sasa hivi kuliko zamani

Je una swali jingine?

Kipindi cha Saddam na sasa,, na kipindi cha Gaddafi na sasa wapi afadhali?
 
Wajifunze Kwa N korea..wamesanda music..US ikiamua imeamua..RIP, aliyekuwa rais wa Iraq
Huyo US akiamua kwa lipi...?

Ina maana zile kelele zoote za kuishambulia North Korea na yale majahazi yao ya kuvulia kambale yameishia wapi...?
Au bado hawaja aamua...?
 
Hata kiduku alianza kwa mikwara kama Hivi mixer kurusha mapipa hewani mwisho wa siku.... Kaolewa[emoji23]
 
Back
Top Bottom