Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 872
- 1,893
Rouhani :U.S watapata Majuoto ya Kihistoria
Kiongozi wa Iran Hassan Rouhani Amesema Marekani watajuta endapo wataamua kuutupilia mbali mkataba wa Nyuklia wa mwaka 2015 amesema wako tayari kukabiliana na Hatua zozote zitakazochukuliwa na U.S