natumia device moja na shemeji yenu Lara 1, nadhani ameshaniwakilisha hapo juu, my love is her love nothing less nothing much.
Yap kawakilisha vizuri na kwa bahati nzuri kasema anakudanganya tu na ukishindwa kumpa mambo ya juu unaachwa vilevile

Ile scene ya mh machemuli kibatari, ndo iphone six yenyewe ile!
Yap kawakilisha vizuri na kwa bahati nzuri kasema anakudanganya tu na ukishindwa kumpa mambo ya juu unaachwa vilevile
Hizo ni suprise ligwaride slow zote poa tu
Bootylicious you are back...umeiona hiyo I phone six?
Nimeiona, unatumiaga? Au uliacha enzi za mwalimu...
Hizo ni suprise ligwaride slow zote poa tu
Sawa....with or without?
Njoo na daftari penseli utaikuta...
Hahahahah....aiseeee mi naandikia ya wino bwana
Huwezi jua kuliko mimi nwalimu wako ujue