Rough estimations. Nyumba ya ramani hii

Rough estimations. Nyumba ya ramani hii

Kwa maoni yangu kuhusu ramani hii. Naiona ni nzuri japo ina mapungufu kadhaa. Kwanza family bath/toilet ningeibadili na kufanya store ya jikoni. Pili ningepunguza ukubwa wa bath/toilet ya bedroom 1 na kuigawa nipate family bath. Kingine mbona naona ukubwa wa sitting room upo sawa na dinning room?
 
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.

Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.

View attachment 436430
Duh yani jiko na bafu ni pua na mdomo!!! Kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japokuwa ramani haina vipimo vyote, nitaribu kuestimate kulingana na vipimo vilivyopo pamoja na assumptions.

Tutaangalia idadi ya tofali za msingi an idadi ya tofali za kuta

HATUA YA KWANZA

Kutafuta urefu wa ukuta tambarare/horizontally (lengths, L)

Nimepata L = 72.02m

Kutafuta urefu wa msingi/vertically (height, H). Assume msingi utaingia ardhini (deep) kwa urefu wa 0.4m na kutoka kwenye ground level mpaka ukuta unapoanzia ni 0.4m, kwa hiyo total height ya msingi itakuwa ni 0.4m + 0.4m = 0.8m

Hf = 0.8m

Kutafuta eneo la msingi (Area of foundation), Af = L x Hf = 72.02 x 0.8 = 57.62sqm

HATUA YA PILI

Size ya tofali za block (dimensions of block) = length, L x Height, H x widths, W = 0.46 x 0.23 x 0.15

Kwa sababu kwenye msingi tofali zitalala, dimension zake zitakuwa = H x W = 0.46 X 0.15 ili kupata eneo la tofali (area of block)

Kutafuta eneo la tofali zkiwa zimelala (Area of block) Ab = 0.46 x 0.15 = 0.069sqm

Kupata idadi ya tofali za msingi = area of foundation ÷ area of block = 57.62 ÷ 0.069 = 835

Idadi ya tofali za msingi ni 835

HATUA YA TATU

Urefu wa kuta kuanzia mwisho wa msingi mpaka kwenye paa (lenghs, L) kawaida inakuwa ni 3.1m.

L = 3.1m.

Area of walls = L x H = 72.02 x 3.1 = 223.3sqm (kumbuka katika hili eneo limejumuisha madirisha na milango)

Kwa hiyo tunatakiwa kutafuta eneo la milango na madirisha tuweze kutoa kwenye eneo letu la 223.3sqm

MADIRISHA,

Japokuwa hayana vipimo lakini nitaweka vipimo kulingana na uzoefu wangu na layout ya madirisha kwenye floor plan

Kuna madirisha 6 yanalingana, yaani madirisha matatu ya vyumbani, madirisha mawili ya dinning na dirisha 1 la living room, kwa hiyo nayapa herufi W1,

W1 = L x H = 2 X 1.5 = 3 x 6 (idadi ya dirisha) = 18sqm

Kuna madirisha mengine mawili yanalingana, yaani dirisha la jikoni na dirisha la living room. Kwa hiyo nayapa herufi W2,

W2 = L x H = 1 X 1.5 = 1.5 x 2 (idadi ya dirisha) = 3sqm

Kuna dirisha 1 la chooni, D3

W3 = L x H = 0.7 x 0.8 = 0.56sqm

Jumla ya eneo la madirisha W = W1 + W2 + W3 = 18 +3 + 0.72 = 21.56sqm

MILANGO

Kuna milango minne inalingana, yaani mlango wa jikoni na milango mitatu ya vyumbani, D1

D1 = L x H = 0.9 X 2.1 = 1.89 x 4 (idadi ya dirisha) = 7.56sqm

Kuna milango miwili ya chooni inalingana, D2

D2 = L x H = 0.8 X 2.1 = 1.68 x 2 (idadi ya dirisha) = 3.36sqm

Kuna mlango mmoja wa kuingilia living room, D3

D2 = L x H = 1 X 2.1 = 2.1sqm

Jumla ya eneo la milango D = D1 + D2 + D3 = 7.56 + 3.36 + 2.1 = 13.02sqm

Jumla ya eneo la milango na madirisha (total area occupied by windows and doors) = D + W = 21.56 + 13.02 = 34.58sqm

ACTUAL AREA OF WALLS (eneo halisi la ukuta) = eneo la kuta – jumla ya eneo la madirisha na milango = 223.3 – 34.58 = 188.72sqm

HATUA YA NNE

Eneo (area) la Size ya tofali za kuta zikiwa zimesimama/dimensions = L x H = 0.46 x 0.23 = 0.1058sqm

Idadi ya tofali za kuta (no. of blocks) AB = actual area of walls (eneo halisi la ukuta) ÷ eneo la tofali zikiwa zimesimama = 188.72 ÷ 0.1058 = 1784

Idadi ya tofali za kuta ni 1784

Jumla ya idadi ya tofali zote = tofali za msingi + tofali za kuta = 835 + 1784 = 2617

NB: Unaweza kuweka makadirio ya tofali 3,000 kwa sababu nyumba inaweza kuwa na anamu (roof gable) pamoja na kufidia matofali yatakayobomoka.

MWISHO

Kwa ujumla ramani ya nyumba ni nzuri lakini inamapungufu baadhi ambayo yanahitaji kurekebishwa wakati wa ujenzi.

1. Hakikisha choo cha kwenye master bedroom kinawekewa dirisha dogo kwa ajili ya mzunguko wa hewa (ventilation)

2. Hakikisha mlango wa public toilet unaangalia dinning, iwepo corridal ndogo ambayo mtu anaingia kabla hajaingia toilet ili kuzuia harufu kuja ndani, kwa hiyo mbele ya public toilet weka ukuta mwingine ili mtu anapokuwa dinning/living room asione moja kwa moja mlango wa kuingilia toilet, yaani iwekwe corridal ndogo (hayo ni mawazo yangu tu)

3. Lakini hakikisha unawekwa ukuta wa kutenganisha kitchen an dinning room ila linawekwa dirisha dogo pamoja na mlango wa kuingilia dinning, hii itasaidia kuwepo na privacy baina ya hizo sehemu mbili. (wazo tu)

Naomba kuwasilisha
Very professional analysis.
 
Mkuu weka floor plan nikupe mchanganuo wote, lakini pia Kama inawezekana pigs picha eneo husika ili niweze kuona site condition ( slope, elevations etc).
Lakini Kama hautaweza kutuma picha ya site basi elezea muonekano wa eneo Kama ni tambarare, mwinuko n.k
Naomba namba yako
 
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.

Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.

View attachment 436430
Hapo kwenye ramani sijahafiki kabisa hasa nilivoona choo na jiko???angalau porch ndo ikakae huko kweny toilet lakin sio jikoni na chooni kweliii??
 
Japokuwa ramani haina vipimo vyote, nitaribu kuestimate kulingana na vipimo vilivyopo pamoja na assumptions.

Tutaangalia idadi ya tofali za msingi an idadi ya tofali za kuta

HATUA YA KWANZA

Kutafuta urefu wa ukuta tambarare/horizontally (lengths, L)

Nimepata L = 72.02m

Kutafuta urefu wa msingi/vertically (height, H). Assume msingi utaingia ardhini (deep) kwa urefu wa 0.4m na kutoka kwenye ground level mpaka ukuta unapoanzia ni 0.4m, kwa hiyo total height ya msingi itakuwa ni 0.4m + 0.4m = 0.8m

Hf = 0.8m

Kutafuta eneo la msingi (Area of foundation), Af = L x Hf = 72.02 x 0.8 = 57.62sqm

HATUA YA PILI

Size ya tofali za block (dimensions of block) = length, L x Height, H x widths, W = 0.46 x 0.23 x 0.15

Kwa sababu kwenye msingi tofali zitalala, dimension zake zitakuwa = H x W = 0.46 X 0.15 ili kupata eneo la tofali (area of block)

Kutafuta eneo la tofali zkiwa zimelala (Area of block) Ab = 0.46 x 0.15 = 0.069sqm

Kupata idadi ya tofali za msingi
= area of foundation ÷ area of block = 57.62 ÷ 0.069 = 835

Idadi ya tofali za msingi ni 835

HATUA YA TATU

Urefu wa kuta kuanzia mwisho wa msingi mpaka kwenye paa (lenghs, L) kawaida inakuwa ni 3.1m.

L
= 3.1m.

Area of walls = L x H = 72.02 x 3.1 = 223.3sqm (kumbuka katika hili eneo limejumuisha madirisha na milango)

Kwa hiyo tunatakiwa kutafuta eneo la milango na madirisha tuweze kutoa kwenye eneo letu la 223.3sqm

MADIRISHA,

Japokuwa hayana vipimo lakini nitaweka vipimo kulingana na uzoefu wangu na layout ya madirisha kwenye floor plan

Kuna madirisha 6 yanalingana, yaani madirisha matatu ya vyumbani, madirisha mawili ya dinning na dirisha 1 la living room, kwa hiyo nayapa herufi W1,

W1
= L x H = 2 X 1.5 = 3 x 6 (idadi ya dirisha) = 18sqm

Kuna madirisha mengine mawili yanalingana, yaani dirisha la jikoni na dirisha la living room. Kwa hiyo nayapa herufi W2,

W2
= L x H = 1 X 1.5 = 1.5 x 2 (idadi ya dirisha) = 3sqm

Kuna dirisha 1 la chooni, D3

W3
= L x H = 0.7 x 0.8 = 0.56sqm

Jumla ya eneo la madirisha W
= W1 + W2 + W3 = 18 +3 + 0.72 = 21.56sqm

MILANGO

Kuna milango minne inalingana, yaani mlango wa jikoni na milango mitatu ya vyumbani, D1

D1
= L x H = 0.9 X 2.1 = 1.89 x 4 (idadi ya dirisha) = 7.56sqm

Kuna milango miwili ya chooni inalingana, D2

D2
= L x H = 0.8 X 2.1 = 1.68 x 2 (idadi ya dirisha) = 3.36sqm

Kuna mlango mmoja wa kuingilia living room, D3

D2
= L x H = 1 X 2.1 = 2.1sqm

Jumla ya eneo la milango D
= D1 + D2 + D3 = 7.56 + 3.36 + 2.1 = 13.02sqm

Jumla ya eneo la milango na madirisha (total area occupied by windows and doors)
= D + W = 21.56 + 13.02 = 34.58sqm

ACTUAL AREA OF WALLS (eneo halisi la ukuta)
= eneo la kuta – jumla ya eneo la madirisha na milango = 223.3 – 34.58 = 188.72sqm

HATUA YA NNE

Eneo (area) la Size ya tofali za kuta zikiwa zimesimama/dimensions
= L x H = 0.46 x 0.23 = 0.1058sqm

Idadi ya tofali za kuta (no. of blocks) AB
= actual area of walls (eneo halisi la ukuta) ÷ eneo la tofali zikiwa zimesimama = 188.72 ÷ 0.1058 = 1784

Idadi ya tofali za kuta ni 1784

Jumla ya idadi ya tofali zote
= tofali za msingi + tofali za kuta = 835 + 1784 = 2617

NB: Unaweza kuweka makadirio ya tofali 3,000 kwa sababu nyumba inaweza kuwa na anamu (roof gable) pamoja na kufidia matofali yatakayobomoka.

MWISHO

Kwa ujumla ramani ya nyumba ni nzuri lakini inamapungufu baadhi ambayo yanahitaji kurekebishwa wakati wa ujenzi.

1. Hakikisha choo cha kwenye master bedroom kinawekewa dirisha dogo kwa ajili ya mzunguko wa hewa (ventilation)

2. Hakikisha mlango wa public toilet unaangalia dinning, iwepo corridal ndogo ambayo mtu anaingia kabla hajaingia toilet ili kuzuia harufu kuja ndani, kwa hiyo mbele ya public toilet weka ukuta mwingine ili mtu anapokuwa dinning/living room asione moja kwa moja mlango wa kuingilia toilet, yaani iwekwe corridal ndogo (hayo ni mawazo yangu tu)

3. Lakini hakikisha unawekwa ukuta wa kutenganisha kitchen an dinning room ila linawekwa dirisha dogo pamoja na mlango wa kuingilia dinning, hii itasaidia kuwepo na privacy baina ya hizo sehemu mbili. (wazo tu)

Naomba kuwasilisha
Uko njema sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom