Nyota Ndogo
Senior Member
- Aug 7, 2011
- 150
- 33
this information is from a reliable source and is true.
HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.
hii ndiyo Tz.

hakuna cha ajabu hata Mwakyembe hana nyumba Kyela.
hahahahaaa!!!RA hana hata ndugu, kama unabisha ukiwa Igunga uliza kwa kina rostam wapi kama utapelekwa.
this information is from a reliable source and is true.
HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.
hii ndiyo Tz.
hahahahaaa!!!
kwahiyo alijichagulia jimbo lake la uswekeni akaamua kuliweka chini ya himaya yake??!!
Rustum HANA NYUMBA hapa TANZANIA achilia mbali Igunga!!!
Ndiyo, hata wakati wa kampeni yeye hutumia pesa tu, anatuma watu wanpiga debe, kama alikodi watu wa kumlilia mpaka kizimia wakati akijivua gamba atashindwa nini memo?
this information is from a reliable source and is true.
HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.
hii ndiyo Tz.
nilishajaza mafuta igunga kituo cha dada yake rostam,ukoo wao umesambaaa igunga nzega mpaka mwanza,baba yake yupo tabora,angeweza kua mbunge nzega,tabora,mwanza
Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi si lazima mgombea awe mkazi wa jimbo husika.