Sio kwamba yuko na chadema ila kakataa kuambiwa ni mfadhili..uwe unaelewaAlhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Hata alipokuwa Mwanamtandao hakusema yeye kama ni MwanamtandaoWapi kasema yuko Chadema?
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Sio kwamba yuko na chadema ila kakataa kuambiwa ni mfadhili..uwe unaelewa
Kwani kuna anayetenda kosa na kukubali? Hata jambazi aliyekamatwa kwa mauaji na amekutwa na silaha eneo la tukio bado atakataaMaaskofu nao wamemkana
Kwikwikwikwikwikwikwiiiiii! Mshenga hajamaliza kazi yakeBora huyu kajitikeza mwenyewe kuliko yule aliyetuma MSHENGE wake kumsemea
nakumbuka vijana wa fisiem mlishadadia sana sheria ya mitandaoRostam fisadi la unga kila mtu anajua.
Kama Slaa anaitwa msaliti, basi ndani ya CHADEMA hakuna asiye msalitiHata Slaa na Zitto mnawaita Wasaliti japo nao hawajakiri kama issue ni kukiri
Anamzidi yule kijana kutoka familia ya kifalme aliyesababisha kuuza gas ya mtwara kwa wachina kwa mikataba 17?
Kama Slaa anaitwa msaliti, basi ndani ya CHADEMA hakuna asiye msaliti
Aisee, na ana watu wa chadema humu wanamuunga mkono dhidi ya Dr.Slaa, shikamoo pesa, to chadema naona wao sasa to helll with our moral principles!!Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Dah! yan mwaka huu, lakin je air time ya jana ni kweli amefadhiliwa na ccm au yey mwenyew kwa uchungu alionao kwa taifa?
Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.
katika sentensi hii hapa chini kuna neno linaloonyesha Rostam Yupo CHADEMA? Jitahidi kufikiria kabla ya kuandika unajiaibisha.Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Uzushi wa Slaa unaweza kutia nchi kwenye hatari
Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.