Eti aliliwa Mcha Mungu na Mwenye ......Mafisadi bhana[emoji2]
Rostam kweli ndiye King maker.... Imagine yuko safarini na Maza Vatican.Amefariki, ila wengine wapo
Lowasa alikuwa mpambanaji hasa, isengekuwa fitina angetuletea mvua za Thailand za ku-download
Ndio kawaida“Nimeishi na Edward Lowassa nyumba moja Dodoma kwa miaka 15. Namfahamu kuliko wengi. Alikuwa Kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, mwenye akili tulivu, mcha Mungu wa dhati, mnyenyekevu na mwenye kauli thabiti.
Nidhamu ndiyo jambo linalotofautisha umahiri wa Edward na wengine wengi. Taifa limepoteza kiongozi mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa nchi yake.”
Rostam Azizi
Rafiki wa Edward Lowassa
12 Februari, 2024
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Yuko huko kama nani?Rostam kweli ndiye King maker.... Imagine yuko safarini na Maza Vatican.
Kama King MakerYuko huko kama nani?
Kama mtanzaniaYuko huko kama nani?
MTanzania wewe mbona hujaongozana nae?Kama mtanzania