Mchungaji Mtikila alishapiga kelele sana kuhusu hawa watu wenye asili ya Kasia siku nyingi sana, lakini kwa nguvu moja watu walimwona kuwa ni mwongo na mchochezi, Sasa yako wapi? Dowans, pamoja na EPA, Patel, hembu angalieni ukweli wa mambo. Mchungaji upo? hembu tukumbushe enzi za kanda zako zile za Saa ya Ukombozi ni Sasa!