Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,517
Nimekutana na hii habari kwamba Rostam Azizi amezuiwa kuuza Gesi yake Kenya kisa eti maswala ya mazingira.

Wakenya kwenye figusifigusi wako vizuri sana hawa jamaa hata Dange amewavulia kofia. Wao wana enjoy sana freedom ya kufanyabiashara Tanzania lakini Kampuni za Kitanzania kule Kenya huwa zinakutana na hujuma za kutosha. Sina hakika kama Azam bado anapeleka Juice zake Kenya make ni hayahaya mambo ya hujuma.

Kule wana Cartel kali sana, Wakenya huwa hawapendi competition kabisa, wako radhi hata wahonge mamlaka zao kiasi chochote kila cha pesa.

Ili ufanikiwe kufungua Biashara Kenya ni hio biashara iwe mpya kabisa yaani kule kwao haipo kabisa, ila kama ipo usijaribu kabisa.

Hata kampuni yao kubwa ya Safaricom ishafanya hujuma nyingi sana kwa kampuni za simu za kigeni zisipewe kibali cha ku oparate Kenya, huwa hadi wanaenda Mahakamani kuzuia.

Juzi kati nimeanza kuona maziwa yao tena kule Arusha, lakini sasa wewe jaribu kupeleka kwao uone, hata mahindi ni kwa sababu tu hawana namna ila wangekuwa na wao wana zalisha nakuambia mahindi ya Tanzania yasingekuwa yanavuka mpaka kwenda kwao.

=======

Kenya freezes Tanzanian tycoon's cooking gas plant

Kenya imekwamisha mipango ya bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz kuanzisha kiwanda na kuhifadhi gesi katika Bandari ya Mombasa Nchini humo katika mradi wa Taifa Gas

Inadaiwa mamlaka zimefikia hatua huyo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni sababu za kimazingira d by the 30,000-ton gas handling facility.

Mradi huo wa Rostam ulitarajiwa kutoa ushindani katika soko la gesi mfanyabiashara wa Mombasa, Mohamed Jaffer.

Mradi wa Taifa Gas Nchini Kenya ulikuwa ni sehemu ya makubaliano yaliyosainiwa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu mwaka 2021

Source: businessdailyafrica

==========================

Kenya freezes Tanzanian tycoon's cooking gas plant

Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries.

The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz, citing risks to the environment posed by the 30,000-ton gas handling facility.

The entry of the business magnate, who was ranked the first dollar billionaire in Tanzania by Forbes in 2013, promised a vicious battle for control of the Kenyan cooking gas market that remains under the tight leash of Mombasa-based tycoon, Mohamed Jaffer.

The entry of Taifa Gas into Kenya is part of a trade deal between the countries signed between Kenyan President Uhuru Kenyatta and Tanzania’s Samia Suluhu last year.

The regulatory licence freeze risks reigniting the trade spat between Kenya and Tanzania that saw Dar es Salaam block Kenyan goods from accessing its market.

The billionaires’ fight pitting Mr Jaffer and Mr Aziz, 57, was expected to cut the cost of handling and evacuating cooking gas from the ships to the mainland, allowing dealers to transfer the cost relief to consumers.

Just like Mr Jaffer, Mr Aziz has invested in building political networks that saw him serve as MP and treasurer of the ruling party-- Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mr Aziz’s ambitions to establish a presence in Kenya’s retail cooking gas business looked set to trigger another market fight with oil dealers such as Vivo, Rubis and Total for control of the 2.87 million households (23.9 percent of Kenyan households) that use liquefied petroleum gas (LPG) for cooking.

“We did not clear their Environmental and Social Impact Assessment (ESIA) because of certain technical deficiencies. The EIA had some technical deficiencies which we want them to address before we consider their application further,” the Energy and Petroleum Regulatory Authority (Epra) said in a response to Business Daily queries.

The regulator did not disclose the technicalities linked to Taifa Gas, which is the largest gas retailer in Tanzania and has more than 30 LPG handling plants.

Taifa Gas wants to build the 30,000-ton Kenya facility at the Special Economic Zone in Dongo Kundu, near the Port of Mombasa.

It will join Jaffer’s firm, Africa Gas and Oil Ltd (AGOL), in the short list of firms that operate gas handling and storage at major entry ports in Africa.

AGOL has a storage capacity of 25,000 tonnes of LPG following an upgrade last year of the facility initially built in 2013.

The plant was built to allow for bulk imports of cooking gas to lower unit costs through economies of scale and curb shortages, which had been made difficult by the smaller import terminal at Shimanzi.

It had a storage capacity of 10,000 tonnes and the 25,000 tonnes unit is ranked among the largest terminals in sub-Saharan Africa.

The import handling and storage unit has helped relieve demand pressures through reduction of stock-outs, effectively easing pressure on LPG prices.

Previously, the oil marketers imported cooking gas individually in small quantities due to inadequate gas discharge facilities.

This led to cooking gas shortages and expensive LPG due to high import premiums and demurrage, which are penalties marketers pay shipping companies when tankers fail to offload in the stipulated time period.

The Shimanzi terminal has a capacity of just 1,400 metric tonnes.

The tankers would queue for up to two months, leaving the marketers with a daily fee of $20,000 (Sh1.7 million).

Private companies have been angling to benefit from the growing use of cooking gas in Kenya in the absence of investments by the government via import and storage facilities.

This is the reason the wealthy Mr Aziz is seeking a piece of Kenya’s gas market.

Mr Aziz facilitated Vodacom South Africa’s entry into Tanzania, and previously owned an estimated 35 percent stake in Vodacom Tanzania.

In 2019, he concluded the sale of the last tranche of his Vodacom Tanzania shares in deals that saw him pockets billions of shillings.

Apart from his shareholding in Vodacom Tanzania, he built a fortune from stakes in contract mining firm Caspian Mining, extensive real estate in Tanzania and the Middle East and investments in Tanzanian media.

He has been vocal about hurdles placed on his bid to enter the Kenyan market.

“Tanzania and Kenya potentially can be much bigger than they are. Unfortunately, we’re bogged down by petty politics, protectionism, inward-looking and trivial issues that impede economic development,” Mr Aziz said at a conference in Nairobi last year.

He was Tanzania’s first dollar billionaire (worth over Sh120 billion) and is still one of the country’s leading businessmen and power brokers.

Source: businessdailyafrica
 
Angalia
Screenshot_20220721_090025_com.facebook.katana.jpg
 
Hawa Wakenya kwa figisu ni hatari hawataki kabisa wafanyabiashara wa Kitanzania wafanye biashara kwao lazima waweke vikwazo lukuki mpka ukate tamaa kisa wanalinda vya kwao lakini wao wakija Tanzania wanataka wafanye bila shida ujirani gani huu wa mashaka.
 
Hawa Wakenya kwa figisu ni hatari hawataki kabisa wafanyabiashara wa Kitanzania wafanye biashara kwao lazima waweke vikwazo lukuki mpka ukate tamaa kisa wanalinda vya kwao lakini wao wakija Tanzania wanataka wafanye bila shida ujirani gani huu wa mashaka.
Huku wana over freedom, jamaa huku wana kumbatiwa, nazani ifike wakati na Wafanya Biashara wa Kitanzania waache ukondooo,
 
Hivi hii EAC ina maana gani, unapokuwa kwenye trade union/agreements huwezi kuzuia wanachama kufungua biashara kwa sababu zisizo na mashiko; in essence hayo mambo ni ya kushitakiana mahakamani.

Mfano nipeleke bidhaa za chakula Kenya; uzuie mpakani hadi ziaribike au uniletee hasara yoyote kutokana na zuio la mpakani lisilo na kichwa wala miguu tutakutana East Africa court au mahakama ya biashara ata huko kwao Kenya; serikali zikisha sign makubaliano ya biashara kuna consequences ukiwaletea watu hasara kwa sababu za kipuuzi.

Mwisho wa siku unapata picha ya upuuzi wa Mungiki the biggest loser sio Rostam Aziz ni wakenya wenyewe; serikali inayojali maslahi ya watu wake aiwezi zuia competition sokoni kwa sababu mnufaikaji kwenye ushindani wa biashara ni walaji sokoni, inaleta ajira na kuongeza kodi ya mapato serikalini.

Hivi iweje watu ovyo kama hawa ndio wenye uchumi mkubwa EAC.
 
Huku wana over freedom, jamaa huku wana kumbatiwa, nazani ifike wakati na Wafanya Biashara wa Kitanzania waache ukondooo,
Nadhani namba moja anapaswa kuonyesha kuchikizwa na kitendo hicho kupitia mamlaka husika maana tunawaendekeza lakini wao wanatufanyia figisu hivyo upanga kwa upanga hakuna namna.
 
Hawa majirani wana sifa ya kuvurugikiwa akili, muda mwingine anakuwa sawa, lkn wakati mwingine anakushangaza, yaani hayawani kabisa.

Sasa ili akili zao zikae sawa, wakizingua tu, wewe waapige spana, tena siyo spana ndogo, wapige spana kubwa ile tuliyokuwa tunaiita bobojani. Wakiona hivyo siku zote watakaa kwenye mstari. Nadhani unakumbuka kipindi kilichopita.

Halafu wale siyo nchi wala serikali, kila mtu ana ndevu. Serikali inaweza kukubaliana jambo na nchi nyingine, utakuta mfanya biashara fulani anatoa amri kupitia partner ambae yuko serikalini kuvuruga makubaliano. Shida sana hawa.
 
Hawa majirani wana sifa ya kuvurugikiwa akili, muda mwingine anakuwa sawa, lkn wakati mwingine anakushangaza, yaani hayawani kabisa.

Sasa ili akili zao zikae sawa, wakizingua tu, wewe waapige spana, tena siyo spana ndogo, wapige spana kubwa ile tuliyokuwa tunaiita bobojani. Wakiona hivyo siku zote watakaa kwenye mstari. Nadhani unakumbuka kipindi kilichopita.

Halafu wale siyo nchi wala serikali, kila mtu ana ndevu. Serikali inaweza kukubaliana jambo na nchi nyingine, utakuta mfanya biashara fulani anatoa amri kupitia partner ambae yuko serikalini kuvuruga makubaliano. Shida sana hawa.
Ila sisi ni kondooo
 
Back
Top Bottom