Ndanda to Lomwe
Member
- Aug 7, 2008
- 31
- 1
Pamoja na kutuwakilishia vizuri taarifa ya paymaster wako,,,,, yeye kama mbunge anawapiga mkwara mzito wabunge wa Tabora kwa lengo gani? Anamaanisha nini? Yuko juu yao? Yeye ni zaidi ya mbunge? Hebu mwulize vizuri mkuu kisha tupashe.aidha alitoa tahadhari kwa wabunge wa mkoa wa tabora wanaopenda kuongozana na Mengi kwenye ziara zake za mkoa wa tabora na kuwa kamwe hawatvumiliwa tena jambo ambalo lilishangiliwa kwa nguvu kubwa
Kwa wanaojua ramani ya Tanzania Nzega haiko jimboni Igunga. Nzega ni wilaya inayojitegemea na wanaoujua Mkoa wa Tabora uwanja wa kumbukumbu ya Samora upo wilayani/jimboni Nzega. Confusion dhahiri kama hii leaves a lot to be desired!! Niko mbioni kupata ukweli wa hayo mengine kutoka huko unyamwezini.Leo mheshimiwa Rostam kapokelewa kwa shangwe kubwa na msululu mrefu wa wapiga kura wake kwenye uwanja wa samora mjini Nzega,baskeli pikipiki pamoja na maelfu ya wakazi walijumuika kwenye mapokezi hayo....kisha aliwahitubia akichanganya lugha ya kisukuma na kiswahili pamoja na mambo mengine ya maendeleo aliwataka wananchi wake wayapuuze maneno ya kejeli yanayotolewa na Mengi dhidi yake.aidha alitoa tahadhari kwa wabunge wa mkoa wa tabora wanaopenda kuongozana na Mengi kwenye ziara zake za mkoa wa tabora na kuwa kamwe hawatvumiliwa tena jambo ambalo lilishangiliwa kwa nguvu kubwa
- Waache wafu wazikane wenyewe huko Igunga na kiongozi wao, maana kama hizi habari ni za kweli basi sikio la kufa hilo!
William.
PM,well said ....naomba kibao cha Les MWENGE ...vijana wa CTU arusha ,dansi lao hata muungwana JK akiwa capt alikuwa akilicheza....
kibao- KILA MNDU AVE NA KWAO.
Waswahili wanasema mcheza kwao huunzwa.....hata wasipomtunza bado familia yake haiwezi kumtupa...,familia inaanzia nyumbani ,mtaa,kijiji,eneo,mkoa,kanda,taifa etc....kama unaishi vema na familia yako hata ukiwa katili namna gani ....watakutetea hadi damu ya mwishi,ndivo maisha yalivyo~~~! hii ni ishara kuwa rostam anaishi vema na familia yake ya wana tabora!.....if mengi want to convince tabora to turn him down will be a wrong war strategy....hasa pale inapokuwa tayari wapo kwenye total warfare....tayari kuna tension,ingekuwa tofauti zao hazijawa wazi.....ingekuwa mbinu yake ya kutumia kina seleeli etc..ingesaidia...kumpata mgombea wa kumuondoa rostam bila watu kustuka ......
pia lingine ni kuwa mzee mengi inaonekana anazidiwa ujanja na rostam hasa pale inapoonekana wazi kuwa rostam na wenzake wana wafuasi wanaomzunguka mengi.....cant you imagine mengi alijuwa kuwa mbunge aziza suleyman yuko upande wake na akampa baiskeli 300 na pesa ...na days after aziza huyo huyo anaongozana na rostam kwenye ziara........watu wanamlia mzee mengi pesa bila yeye kujijua...huku wenzake wanajiimarisha kibiashara na kimkakati!!
well said ....naomba kibao cha Les MWENGE ...vijana wa CTU arusha ,dansi lao hata muungwana JK akiwa capt alikuwa akilicheza....
kibao- KILA MNDU AVE NA KWAO.
Waswahili wanasema mcheza kwao huunzwa.....hata wasipomtunza bado familia yake haiwezi kumtupa...,familia inaanzia nyumbani ,mtaa,kijiji,eneo,mkoa,kanda,taifa etc....kama unaishi vema na familia yako hata ukiwa katili namna gani ....watakutetea hadi damu ya mwishi,ndivo maisha yalivyo~~~! hii ni ishara kuwa rostam anaishi vema na familia yake ya wana tabora!.....if mengi want to convince tabora to turn him down will be a wrong war strategy....hasa pale inapokuwa tayari wapo kwenye total warfare....tayari kuna tension,ingekuwa tofauti zao hazijawa wazi.....ingekuwa mbinu yake ya kutumia kina seleeli etc..ingesaidia...kumpata mgombea wa kumuondoa rostam bila watu kustuka ......
pia lingine ni kuwa mzee mengi inaonekana anazidiwa ujanja na rostam hasa pale inapoonekana wazi kuwa rostam na wenzake wana wafuasi wanaomzunguka mengi.....cant you imagine mengi alijuwa kuwa mbunge aziza suleyman yuko upande wake na akampa baiskeli 300 na pesa ...na days after aziza huyo huyo anaongozana na rostam kwenye ziara........watu wanamlia mzee mengi pesa bila yeye kujijua...huku wenzake wanajiimarisha kibiashara na kimkakati!!
Asante FM, tunapenda updates kama hizi. Kudos mkuu
Yes yuko juu yao kwa mamna nyingi labda nikupe chache,kwanza yeye ndioaliwafadhili kampeni zao kuanzia uchaguzi wa mwaka 1995 kwa fedha zake binafsi na wakati huo ukumbuke hata huo ufisadi haukuwepo...pili yeye ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa ambayo wabunge wako chini yake kichama,yeye ni mjumbe wa nec na kamati kuu ya ccm anayo mamlaka ya kuonya na kuelekeza.Pamoja na kutuwakilishia vizuri taarifa ya paymaster wako,,,,, yeye kama mbunge anawapiga mkwara mzito wabunge wa Tabora kwa lengo gani? Anamaanisha nini? Yuko juu yao? Yeye ni zaidi ya mbunge? Hebu mwulize vizuri mkuu kisha tupashe.
Yes yuko juu yao kwa mamna nyingi labda nikupe chache,kwanza yeye ndioaliwafadhili kampeni zao kuanzia uchaguzi wa mwaka 1995 kwa fedha zake binafsi na wakati huo ukumbuke hata huo ufisadi haukuwepo...pili yeye ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa ambayo wabunge wako chini yake kichama,yeye ni mjumbe wa nec na kamati kuu ya ccm anayo mamlaka ya kuonya na kuelekeza.
- Waache wafu wazikane wenyewe huko Igunga na kiongozi wao, maana kama hizi habari ni za kweli basi sikio la kufa hilo!
William.
eeeh bwana eeeh... hadith hii kakusimulia nani?Wakazi wa Igunga wanapenda PIPI, nadhani ndiyo maana ni miongoni mwa wilaya zilizo nyuma kimaendeleo. Waliofika Tabora na kwenye wilaya zake wanaijua INAVYOTIA HURUMA utadhani imelaaniwa ila leo nimegundua ni kwa ajili ya HIZO PIPI.
Wakazi wa Igunga wanapenda PIPI, nadhani ndiyo maana ni miongoni mwa wilaya zilizo nyuma kimaendeleo. Waliofika Tabora na kwenye wilaya zake wanaijua INAVYOTIA HURUMA utadhani imelaaniwa ila leo nimegundua ni kwa ajili ya HIZO PIPI.