Hayo ya "vyombo vya habari vimesema" ndio yanayowafanya wengine wanapotakiwa wapeleke ushahidi wapate kigugumizi na kutapatapa.Vyombo vya habari vinaonesha Sabodo ndio mwenye "kupenyeza rupia" na Rostam anapenyezewa rupia, hapo sasa!
Au ndio "damned if you do, damned if you don't".
Hayo ya "vyombo vya habari vimesema" ndio yanayowafanya wengine wanapotakiwa wapeleke ushahidi wapate kigugumizi na kutapatapa.
Imesemwa kuwa imetoka kwenye gazeti. Kitu kimoja ni msemo niliotoa wa Penye udhia penyeza rupia chengine ni kutoa ushahidi wa matendo ya Rostam na/au Sabodo, mimi nisingeweza, na wala nisingetegemea magezti kuwa ndio ushahidi wangu.Kwani hata habari ya huu uzi imetoka wapi?
To be frank, Raila will never win in Nairobi, will not win in Coast, will not win Nyanza, will not win Rift Valley. he will only win in Lang'ata. Willy Rutto is the favorite President of Kenya believe me!

Rostum anachostahili ni a hot bullet between his eyes! Maybe 2 or 3. Shenzitype!Haya tuulize Serikali yetu kuwa huyo Rostam ni Mtanzania au Mkenya/ Inaruhusiwa Mtanzania kupiga Siasa Kenya. SERIKALI ANATOA JAMBO GANI KUHUSU HIYO? Jamani huyo Rostam ni SHETANI atakiwi kabisa kwenye Serikali huyo ni MAFIA MKUBWA.
Joh Nyaga, Gitobu Imanyara kutoka Central n Eastern
province respectvely, Henry Kosgei na Musa Sirma frm
Central rift, Ekwe Ethuro frm nothern rift, William Ole
Ntimama na Joseph Nkaisery frm S.rift. Ali Hasan Joho
na Amason Kingi frm Coast, Fred Gumo na Margret
Wanjiru in Nairobi, Ababu Namwamba na Wyclife Oparanya in Western Province Nyanza na N.eastern sikutajii.
ODM is Realoded
Huyu William Ruto hana tofauti na huyo William Malecela.
To be frank, Raila will never win in Nairobi, will not win in Coast, will not win Nyanza, will not win Rift Valley. he will only win in Lang'ata. Willy Rutto is the favorite President of Kenya believe me!
rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work
Nimesoma tu yaliyoandikwa magazetini juu ya hicho kitabu na majibu ya ofisi ya PM. Lakini jamaa aliyeandika anaonekana ametumiwa kum "destroy" Raila. Only time will tell. Usitumie maoni ya mtu mmoja tu kama kigezo cha kumhukumu Raila.Mkuu Jasusi, I think you haven't read "The Peeling back the Mask" hahaaaaaaaa!!!!!!!!
kama ni agent wa CIA,hofu yangu ni mda alioishi tz kwa kusoma udhaifu wa viongozi wa CCM.anaweza akatumia udhaifu huo kufanya fitina za ki-CIA kuzigombanisha hizi nchi mbili(kenya na tz)na hatimaye siku moja zikaingia vitani kwa masilah ya hao mabwana zake-CIA.mtizazmo wangu.rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work
rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work