Rostam anafaa kuwa Rais 2015



huyu anafaa kuwa rais wenu nyie wenye hizo tabia mbaya za kimombasa.
 
Hayo maendeleo ya Igunga yako wapi, nimefika pale sijaona chochote, Siasa za kumbeba Rostam ni ulevi na upuuzi kwa wenye madaraka
 
huyu anavyopenda pesa si anaweza akauza hadi hewa then tupumue kwa kulipia
 
..sasa huo ndio ubaguzi wetu nilio ongelea, tuachane na huo ujinga, Angalia America wamempa urais Mjaluo, kwa sababu wanataka maendeleo, sio sisi tumekalia kuwa majelous

Waambie kwanza CCM wampe uenyekiti baada ya JK ndipo tutajua mko serious na Rostam kuwa rais wenu
 
TZ huwezi kuilinganisha na USA kwa sababu USA ni ya wahamiji kwa asilimia kubwa..PINDA alienda kumnadi na ili aukwae tena ubunge ambao anauhitaji mno kuliko hata jina lake ili alinde maslahi yake maana nje ya ubunge maslahi yake yanakuwa hatari. Lkn juu ya kampeni bado aliulizwa mbona haonekani jimboni? Kama Igunga haonekani akiwa pr. Atahamia wapi. bwabwa acha kutonesha donda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…