Hiyo picha hapo Rostam akimuonyesha waziri mkuu maendeleo katika jimbo lake, Napenda kuwaambia watz wenzangu tuweke pembeni chuki za ubaguzi na Wivu, Hayo mambo ndio yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, Kwa kweli huyu Rostam anafaa sana kuwa Rais wetu na anaweza kuiendeleza hii nchi kwa ufanisi mkubwa na kutuletea lukuki za maendeleo, miongoni mwa mambo ambayo yananipelekea kusema kwa kinywa kipana kuwa Rostam anatufaa sana, ni:-
1-Imebainika kuwa shutuma zote zilizoelekezwa kwake ikiwemo ya Richmond ni Majungu na uwongo wa kipumbavu!
2-Ni msomi aliyebobea
3-Ana msimamo, na ana vision kubwa kwa taifa letu
4-Ana uchungu sana na hii nchi, na amezaliwa Igunga
5-He looked very smart(see the photo) and is a man of principle
6-Umewahi kumsikia akiongea?...mpangilio mzuri wa hutuba na points zenye maana nzito
7-Amewasaidia watu wengi sana mpaka makanisani
8-n.k...n.k....n.k....n.k......n.k...............

..sasa huo ndio ubaguzi wetu nilio ongelea, tuachane na huo ujinga, Angalia America wamempa urais Mjaluo, kwa sababu wanataka maendeleo, sio sisi tumekalia kuwa majelouswewe kweli bwabwa....Yani kitendo cha yeye kuwa Mhindi tayari keshapoteza sifa ya kuwa rahisi wa TZ. Chukulia wewe bwabwa a.k.a "choko mtemi" na weusi wako huo ungekuwa umezaliwa india hata kama ungekuwa mtume wasingekupa Urais .
Awe MUHINDI sijui Muogo, MWARABU, MZUNGU kutawala TZ sahau hata kama kazaliwa TZ. Utakuwa ni ubwabwa kumpa urais hii mihindi hindi...nchi lazima itawaliwe na vitu Tintedi kama mizengwe pure black....
..sasa huo ndio ubaguzi wetu nilio ongelea, tuachane na huo ujinga, Angalia America wamempa urais Mjaluo, kwa sababu wanataka maendeleo, sio sisi tumekalia kuwa majelous
Hayo ni maoni yako mkuu. Mi kwa mtazamo wangu hanifai kabisa maana ana uchu wa mali....akiona vijisenti tu tamaa yamshika.
Kila mtu ana destination yake...huyu bwana aendelee kuwa mfanyabiashara na sio mwana siasa.