Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Hivi huo uhudhuriaji wa kikao hicho umetajwa kwamba ni physical pekee au? Ina maana telephone na video conferencing haziwezi kumuhesabu mtu kama alihudhuria?
Just curious!
Mr. Nyambala; my friend, video-conferencing ndiyo itamweka mahali pabaya zaidi ya kuwa kumbe alikuwa nchini na yeye Rostam Aziz anataka aonekane alikuwa Afrika ya Kusini na hivyo asingeweza kuhudhuria kile kikao cha kupanga mikakati ya kuchakachua matokeo cha jijini Mwanza........................Hivi huo uhudhuriaji wa kikao hicho umetajwa kwamba ni physical pekee au? Ina maana telephone na video conferencing haziwezi kumuhesabu mtu kama alihudhuria?
Just curious!
Huyu msukuma ambaye wasukuma wanaamini ni msukuma kutoka asia...........kweli wajinga ndiyo waliwao..............kwa nini wasukuma mnaruhusu watu wa namna hii wa kuliangamiza taifa na ambao hawawezi kuchukuliwa hatua zozote na rais mnawachagua?.......tutaanza kuilaumu mikoa inayotuchagulia wasia wakati wana vijana wao wamewasomesha kwa pesa nyingi na kwa kukamuliwa na ccm..........akina rostamu sisemi tuwafukuze ila tuwaruhusu waendelee na kilichowaleta yaani wafanye biashara zao halali walipe kodo na mambo ya nchi watuachie................wasukuma bado mnachagua rangi?....hamtaki vijana wenu wazawa waende bungeni kuwatetea?.......hata km mtu anauwezo kiasi ganiu lakini lazima muheshimu utu wenu kwa kujiheshimu wenyewe..........nawalaumu wasukuma kwa kuendelea kutuletea mafisadi......chenge,rostam na arusha wanatuleta lowasa................
Mr. Nyambala; my friend, video-conferencing ndiyo itamweka mahali pabaya zaidi ya kuwa kumbe alikuwa nchini na yeye Rostam Aziz anataka aonekane alikuwa Afrika ya Kusini na hivyo asingeweza kuhudhuria kile kikao cha kupanga mikakati ya kuchakachua matokeo cha jijini Mwanza........................
Haya maswali vilevile huyu Ridhiwani aliyedai alikuwa nje ya nchi wakati wa kikao hicho anapaswa kutoa vielelezo vya ushahidi vinavyojitosheleza haitoshi yeye kudai kuwa alikuwa nje ya nchi kwenye hizo tarehe halafu akaishia hapo............We need concrete evidence and alibi.......we are not fools as they deign us we are.................................
Mtakafufa na vijiba vya roho!
1.Hiyo barua ya Mwaanza aidha iliandikwa na wajanja wachache wa CCM ili kuwatisha wapiga kura
2.Au imegushiwa
3.Niemkuwa Mfuatiliaji na mshiriki wa siasa muda mrefu,Rais hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kukutana na watu kwenye hoteli ya Lakairo na kupanga mipango mkibuwa kiasi hiki.Hell No
Mwizi msemeni ili ukweli juu yake Mmsiupotoshe.Nina uhakika RA alikuwa afika kusini kipindi hicho na kuna watu wangu wa karibu walikuwa naye kwenye huo mkutano Jo 'berg!