huyo demu kama hakutumia fursa ya kujipatia mafanikio wakati ule bongomuvi ipo juu kwenye kileke,asitegemee kufanikiwa kwa wakati huu,maana kila kitu alikuwa nacho.
Aisee nguo zinaficha vingi sana....TUNGEKUWA tunatembea BILA NGUO wala USINGEMPA SIFA HIZO.....mbona akitoa nguo ni msichana wa kawaida sn tu....PENGINE NGUO ALIZOVAA NDY zinakuchanganya... Wanaume wengi tunasumbuliwa na MAVAZI yao wanawake... Ndy maana baada ya kupoteza gharama zako nyng... Kumpata.. UKISHAGEGEDA TU....unaanza MAJUTO..unachojutia ni ULICHOPOTEZA ni gharama kubwa KULIKO hicho ULICHODHANIA UTAFAIDI....