From muslim to the highest peak of christianity...
Very good bidada
It depends, whichever that outlasts the other,je matatizo huisha?certainly money does.Pia siyo matatizo pekee ndo yanamaliza pesa,bali hata raha/starehe.Pesa inamaliza matatizo au ni matatizo yanamaliza pesa?
Sasa si afadhari watusumbue wakiwa wanakielewa wanachokishabikia ........... lakini wasivyoelewa kitu unakuta jitu limeandika "Sony vs Tomato" yaani jitu alijui hata hiyo Sony ina deal na nini ............ na yeye (kiba ) kuwa Sony inamaanisha nini mijitu haijui ila inapiga kelele tu.Rose Muhando alifanya kimya kimya kitambo, nashangaa Team Kibakuli mnavyotusumbua mitandaoni.
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu...wanaoandika Sony vs tomato ni gadem mbululazSasa si afadhari watusumbue wakiwa wanakielewa wanachokishabikia ........... lakini wasivyoelewa kitu unakuta jitu limeandika "Sony vs Tomato" yaani jitu alijui hata hiyo Sony ina deal na nini ............ na yeye (kiba ) kuwa Sony inamaanisha nini mijitu haijui ila inapiga kelele tu.
Mbn pofu lmelutoka mkuu kulikon au hujakulaNchi hii watu walitakiwa waishi Kama Korea ya Kaskazini Tu. Hakuna internet kwa ajili ya kuandika upuuzi upuuzi. Watu wangekuwa na akili Sana.