Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

Mungu alishampiga laana huyu mama kitambo sana , ndio maana akmuondolea kipawa cha kuimba , akambakishia mafunzo ya mgambo tu , uliona wapi kwata kwenye nyimbo za injili ?

Ukijihusisha na ccm tu ni kama kujimaliza mbele ya Mungu .
Hahahahaha! Ccm Ina laana mkuu ndio maana nchi haiendelei
 
Aliowahi kuambiwa atapiga muziki/kwaya yake mpaka virabuni kwenye pombe za kienyeji.

Kwa sasa hali yake si shwali kifedha. ni Muhimu kwake kutafuta fulsa kama hii kwa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…