PostGE2025 Rose Mayemba na John Pambalu waomba hifadhi Kenya

PostGE2025 Rose Mayemba na John Pambalu waomba hifadhi Kenya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,829
Reaction score
5,269
Taarifa kupitia Citizen Tv ya Kenya, wanachama wa Chadema na wajumbe wa kamati kuu, John Pambalu na Rose Mayemba wameomba hifadhi nchini Kenya baada ya vurugu zilizotokea Tanzania 29 Oktoba.

===============
Serikali ya Kenya imetakiwa kutoa hifadhi kwa viongozi wa upinzani kutoka Tanzania ambao wamekimbia mateso katika nchi yao. Kiongozi wa upinzani na mwanasheria, Profesa George Wajackoyah, amesema kwa sasa anawahifadhi baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliokimbilia nchini humo wakitafuta hifadhi ya kisiasa.

Viongozi hao wa CHADEMA wanasema hali nchini mwao imekuwa mbaya kutokana na kuendelea kwa mauaji, utekaji na mateso dhidi ya wale wanaoipinga serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.


View: https://m.youtube.com/watch?v=VS9MHDeJK0E
 
Taarifa kupitia Citizen Tv ya Kenya, wanachama wa Chadema na wajumbe wa kamati kuu, John Pambalu na Rose Mayemba wameomba hifadhi nchini Kenya baada ya vurugu zilizotokea Tanzania 29 Oktoba.


View: https://m.youtube.com/watch?v=VS9MHDeJK0E


Jambo jema wakati wa mapambano ni muhimu baadhi ya makada kuwa nje ya nchi , kama vile Tanzania wakati wa mapambano ya kuondoa utawala wa wachache wabaguzi South Africa na pia harakati za kungoa utawala mkongwe wa Wareno Mozambique, Tanzanoa ilitoa hifadhi kwa makada wa vyama vya ukombozi vya PAC, ANC vya Afrika ya Kusini, FRELIMO ya Mozambique ili kusukuma gurudumu la kuchochea mabadiliko

TOKA MAKTABA :
07 October 2025

From Dar es salaam to Nairobi: The soil that makes and breaks Africa’s leaders​

Story by Charles Onyango-Obbo

Peter Mutharika, the octogenarian former president of Malawi, has staged a dramatic comeback, sweeping back to State House after defeating incumbent Lazarus Chakwera with nearly 60 percent of the vote.

Chakwera conceded defeat, acknowledging the voters’ decision after a term marked by economic hardship, fuel shortages, accusations of corruption, and concerns over nepotism.

With his fall, Chakwera might have marked the last of Southern African leaders bred in East Africa’s trenches. For several years, Chakwera lectured at the Pan Africa Christian University, then a modest evangelical college, teaching theology and philosophy.

He also preached and built networks in Kenya’s vibrant religious world, long before becoming head of the Assemblies of God in Malawi and later a politician.

It was not the harsh exile that shaped so many of his African peers, but those Nairobi years placed him within a tradition that links East Africa’s cities with the making of African leaders. Exile or expatriate life, like Chakwera’s, is rarely neutral and has been one of the significant undercurrents of African politics.

Over the years, African leaders were shaped not only by struggles at home but also by their time abroad—in refugee camps, borrowed flats, or foreign schools.

For some, these experiences opened their minds to greater possibilities. For others, they fostered resentment, mistrust, and the bitterness of men who endured the humiliation of statelessness.

East Africa has produced a high number of continental political figures for whom exile enlarged their vision or shrank their spirit. And no country shaped this story more than Tanzania, as for two decades, Dar was a revolving door of exiled revolutionaries and future presidents.

Founding father Julius Nyerere turned Dar es Salaam into the capital of liberation Africa, a city where the future of nearly half the continent was plotted.

Samora Machel of Mozambique trained and operated from Tanzanian soil before returning home to lead the Mozambique Liberation Front (Frelimo) and later serve as president.

Joaquim Chissano, his successor, also lived and worked in Dar in his early years. Eduardo Mondlane, the founder of Frelimo, was likewise based in Dar before his assassination in 1969.

Angola’s liberation was also tied to Tanzanian soil: Angola’s first post-liberation president, Agostinho Neto, passed through Dar, as did his successor, José Eduardo dos Santos, while the People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) maintained offices and bases there.

The same soil sheltered South Africa’s African National Congress (ANC). Thabo Mbeki, who would later become president, lived in Dar es Salaam during some of his years of exile before the ANC shifted more of its operations to Lusaka.

Namibia’s Sam Nujoma and Hifikepunye Pohamba both lived in Tanzania during the liberation struggle before returning home to lead the country as its first and second presidents.


The DR Congo’s Joseph Kabila also spent part of his youth in Tanzania, following the guerrilla years of his father, Laurent Kabila, around Lake Tanganyika.

Kenya, meanwhile, became a quieter but significant corridor of exile. Nairobi was Chakwera’s temporary academic home, but it also sheltered Somali politicians escaping Siad Barre’s crumbling regime.

Sharif Sheikh Ahmed, who would later become Somalia’s president, operated from Kenya during the fragile years of the Islamic Courts Union (ICU) and the subsequent transitional governments.

South Sudan’s long liberation war also leaned on Nairobi: John Garang, chairman of the Sudan People’s Liberation Movement (SPLM), who became first vice president of Sudan and died in a helicopter crash on July 30, 2005 (he was also president of the pre-independence autonomous Government of Southern Sudan), and his colleagues used the city as a place of diplomacy and negotiation.

Uganda, too, produced leaders in exile, as did its own in foreign lands. President Yoweri Museveni, after Idi Amin’s coup in 1971, crossed into Tanzania, where he regrouped under the protection of Nyerere.

Milton Obote, deposed by Amin, lived in Dar, brooding over his lost presidency before storming back in 1980. Exile embittered Obote, leaving him grumpy and less tolerant.

At the same time, Uganda hosted the displaced of Rwanda and Burundi. Rwanda’s President Paul Kagame grew up as a refugee in western Uganda after his family fled Rwanda in the early 1960s.

He attended schools in Uganda, joined Museveni’s guerrilla National Resistance Army (NRA), rose to become a senior intelligence officer, and then led the Rwandan Patriotic Front (RPF) to power in 1994. Burundi’s President Évariste Ndayishimiye also spent years as a refugee in Uganda.

From this exile, some returned with an expanded vision, with a continental breadth, able to see their nation’s struggles within the broader frame. Machel’s pan-Africanism and Kagame’s strategic clarity both owed something to their years outside.

For others, exile distorts. The daily humiliations of living at the mercy of hosts, the memory of being unwanted, or of competing with other exiles for small favours, can sour the spirit once power is gained. Obote’s second presidency and Robert Mugabe’s paranoia in Zimbabwe bore the latter imprints of exile.

Chakwera’s milder sojourn in Nairobi as an expatriate scholar, rather than a political fugitive, and his earning a salary, likely explains why he carried himself with more intellectual ease than the combat-hardened leaders of exile.

Whatever their ilk, in offering its soil as refuge, East Africa gave Africa its best and its worst rulers—leaders who built nations and others who broke them. For all the promise, Chakwera, a man of God, nearly broke his.

Source : article written by Charles Onyango-Obbo who is a journalist, writer, and curator of the «Wall of Great Africans

TOKA MAKTABA:

 
Wao wanaogopa kufa ila wanawatuma Nyumbu waingie barabarani kufanya uhalifu

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba hawana akili.
Screenshot_20251112_172152.jpg
 
Waende tu, wamehangaka hawa, then wataenda ulaya

Mikono miovu ya utawala dhalimu nchini Tanzania inaweza kuwafuata huko kama walivyojaribu kumfikia Maria Sarungi, hivyo Kenya ni transit / sehemu ya kuishi kwa muda kabla ya kutafuta nchi salama zaidi kuendeleza harakati


TOKA .MAKTABA :

Zimwi nyonya damu litataka kuvuka mpaka kuwadhuru Rose Mayemba na John Pambalu somo la historia linatufunza kuhusu tawala dhalimu :

POLEPOLE SASA KUTAMBULIKA RASMI KAMA SHUJAA ALIYETEKWA NA SERIKALI KANDAMIZI


TOKA MAKTABA

Wanachama sita wa PAC wamehukumiwa kwa mauaji ya kiongozi wa PAC David Sibeko​

Tarehe 15 Juni mwaka wa 1981
David Maphgumzana Sibeko alianza maisha yake ya kisiasa kama mwandishi wa habari wa jarida la Afrika Kusini Drum.

David Sibeko alijiunga na Pan Africanist Congress (PAC) wakati wa hali ya hatari ilipotangazwa baada ya kupigwa marufuku kwa shirika hilo mwaka 1960 nchini Afrika ya Kusini iliyokuwa chini ya utawala wa makaburu .

Baada ya muda mfupi akawa kiongozi ndani ya chama , na kufikia 1975 alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama cha PAC na kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa mambo ya nje mambo.

Alihusika na uanzishaji wa ofisi mpya za PAC katika nchi mbalimbali, na alikuwa mwangalizi wa kudumu wa PAC katika Umoja wa Mataifa.

David Sibeko alihusika kwa karibu na kumwondoa PK Leballo katika uongozi wa PAC mwaka 1979. Alikuwa mjumbe wa triumvirate, iliyojulikana kwa jina la Baraza la Rais, iliyoshiriki uenyekiti wa chama hicho baada ya mapinduzi ya uongozi ndani ya chama . Hata hivyo kutoaminiana kulienea ndani ya PAC, na Sibeko aliingia katika hali hii ya kutoaminiana alipoviziwa na kupigwa risasi na wauaji kutoka kwa kundi moja ndani ya chama cha PAC mnamo tarehe 12 Juni 1979.

Alipigwa risasi katika nyumba yake iliyoko Sea View eneo la Upanga, jijini Dar-Es-Salaam, Tanzania.

Msemaji wa chama cha PAC alisema Bw.Sibeko ambaye alikuwa mkurugenzi wa maswala ya kigeni wa chama hicho alipigwa risasi kichwani jana usiku.

Msemaji huyo aliripoti kukamatwa kwa wanachama sita wa chama hicho chenye makao yake makuu hapa jijini Dar es Salaam, Tanzania .

Bw. Sibeko alikuwa mmoja wa wanaume watatu ambao kwa pamoja walichukua kiti cha urais wa chama baada ya Potlako Leballo, mwenyekiti kuachia wadhifa wake mwezi uliopita kwa sababu za kiafya. Chama hicho kimekumbwa na migogoro kwa miaka miwili.

Kwa mujibu wa polisi, Bw. Sibeko alikuwa pamoja na mmoja wa wajumbe wengine wa baraza la rais, Vusumzi Make, ambaye alisema pia alikuwa mlengwa wa wauaji. Bw. Make alisema alikuwa amejifungia kwenye chumba cha kuhifadhia watu ili kuwatoroka watu watatu waliomuua Bw. Sibeko, kulingana na polisi.

Amesaidiwa Kujenga Ushawishi Marekani kupinga siasa za kubaguzi Afrika ya Kusini
Wajihi wa David Sibeko mwanaume mrefu, umbo kubwa , mwenye sauti inayoweza kushawishi, ikivuma au kunongona , David Maphumzana Sibeko alichukua nafasi muhimu katika kujenga ushawishi katika jamii kubwa nchini Marekani kuunga mkono juhudi za watu weusi kupinga Serikali ya Wazungu katika nchi yake ya asili ya Afrika Kusini.

Takriban miaka miwili baadaye, wanachama 6 wa PAC walipatikana na hatia kisha walihukumiwa kifungo cha miaka 15 na Mahakama Kuu ya Tanzania kwa mauaji ya David Sibeko.

David Bambatha Maphgumzana Sibeko (26 Agosti 1938 huko Johannesburg , Afrika Kusini - kufariki 12 Juni 1979 jijini Dar es Salaam , Tanzania ) [1] alijulikana kama " Malcolm X wa Afrika Kusini" na alianza kazi yake ya kisiasa kama mwandishi wa habari wa Kusini Weusi


JINA AZANIA LATINGA UMOJA WA MATAIFA
(23 Jun 1976) Chama cha mrengo mkali cha PAC - Pan-Africanist Congress katika Umoja wa Mataifa,

View: https://m.youtube.com/watch?v=yqWtjdPepno

kuhusu Azania, jina la Kiafrika la nchini ya Afrika Kusini, msemaji na mwakilishi wa PAC katika Umoja wa Mataifa Bw. David Sibeko alikosoa mkutano wa Kissinger wa Marekani na kiongozi wa makaburu Vorster kuwa ni diplomasia mfu ambayo haitafifishi harakati za Ukombozi kusini mwa Afrika

Source : the New York Times
 
Wao wanaogopa kufa ila wanawatuma Nyumbu waingie barabarani kufanya uhalifu

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba hawana akili.
Wewe ni shetani mwendawazimu, endelea kuropoka kwani ndicho pekee ulicho nacho. Akili huna, utu huna, umebakia kuwa shetani mpumb.avu.
 
Kenya imekuwa nasi raia wakati huu mgumu, kongole na hongera kwa GenZ, Wanaharakati , wanasheria, waandishi wa habari Kenya

Tanzania ilipata kuwa mtetezi wa wapambanaji wa kupinga ubaguzi, ukoloni lakini leo ndiyo imekuwa na utawala wa kiimla kuua, kutupa watu maporini baada ya kuwavunja miguu, kupoteza, kuteka na udhalimu mwingine mwingi


TOKA MAKTABA :

 
Back
Top Bottom