Source of your information please otherwise nakuchukulia wewe na kamanda kova hamna tofauti!
Kesi namba 4 ya mwaka 2012 ambayo iko mbele ya Jaji Lawrence Kaduli, imefunguliwa na Rose Kamili anadai pamoja na mambo mengine kwamba ndoa isifungwe sababu ipo ndoa ingine halali iliyofungwa mwaka 1985.
Sasa Ritz , haya Madai mbona hayaendani na Kichwa cha habari yako.
Unajua ukiwa ukiwa CCM haimaniishi kuwa ni lazima ufikiri kwa kutumia Makalio.
Tatizo lenu ni ndoa ya Dr hamna lolote.
Ritz sio wana harakati tu ndio wanatakiwa kumsaidi rose ata wewe kwa nini haukumsaidia?
Wanabodi.
Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..
Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.
Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.
[/QUOTE]MZEE MSEKWA KASEMA CHADEMA INANGUVU KAMA ILIYOKUWANAYO TANU,NAPE ANAOMBA PESA KUTOKA KWA KIKWETE BINAFSI BILA IDHINI YA CHAMA,MUKAMA ALISEMA NAPE HAJENGI CHAMA ANAJIJENGA MWENYEWE,MAKAMBA ALISEMA NAPE ANAKIVURUGA CHAMA WATANZANIA WANKIPENDA SANA CHADEMA WAKIFANYA UCHAGUZI HATA KESHO CCM WATAKUFA KIFO CHA MENDE.=Ritz;4314468]Wanabodi.
Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..
Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.
Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.
kesi namba 4 ya mwaka 2012 ambayo iko mbele ya jaji lawrence kaduli, imefunguliwa na rose kamili anadai pamoja na mambo mengine kwamba ndoa isifungwe sababu ipo ndoa ingine halali iliyofungwa mwaka 1985.
Je umeshawahi kujiuliza kuwa Rose alishafunga Ndoa na Dr Slaa am lah, kama YES, nini status ya Ndoa yao till now, Rose alikuwa wapi kipindi Dr Slaa anazunguka na Josephine kwenye Kampeni 2010.Umeuliza vizuri ngoja nikujibu mkuu, Uongozi wa Chadema wanataka kumtimua Rose Kamili kisa kafungua kesi mahakamani kudai haki yake...
Rose Kamili kasambaza nakala za hati ya mashtaka kwa Kadinal Pengo, Msajili wa ndoa na kwa Askofu Mkuu wa jimbo la Mbulu, Rose Kamili anataka kwanza Mahakama Kuu izuie kufungwa kwa ndoa hiyo na pili alipwe fidia ya Sh milioni 550...hicho ndicho kimemfanya Rose Kamili kutaka kutimuliwa Chadema kwa kumdhalilisha Dr Slaa.
wanabodi.
Hali ya kisiasa ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, rose kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..
Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu rose kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.
Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya watanzania.