Habari za mihangaiko ya maisha wanajamii,, naombeni msaada wa application ambayo naweza nikafanikiwa kuroot tecno y2,, maana nimejaribu kingroot latest version,, kingroot,, kingroot v4.1.0,, lakini zote hazikufanya kazi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.