EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Wayne Rooney alimwambia Ferguson wiki mbili zilizopita kuwa anataka kuondoka Manchester Utd.
Hata hivyo, msemaji wa Man Utd amesema kuwa Wayne Rooney hauzwi.
Rooney na kocha mpya mtarajiwa wa Man Utd David Moyes, walikuwa na bifu la kiana na Rooney kuishia kumlipa fidia kutokana na baadhi ya maandiko kwa ajili ya autobiography yake ku-leak.
Moyes alimshtaki mchapishaji wa Rooney mahakamani na kushinda kwa fidia kubwa.