Roomate wa kike anahitajika

Roomate wa kike anahitajika

Maria92

Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
60
Reaction score
107
Habari wanajf
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji roommate wa kike tushee room pamoja ili kusave gharama za kodi
Room ni nzuri na standard

Mhusika akiwa hana vitu vingi au hana kitu itapendeza zaidi
Rooom ipo mabibo mwisho
Kodi ni 60,000 kwa mwezi
Awe na hela ya miezi mitatu
Mhusika awe muaminifu maana mimi ni mtu wa kusafiri mara kwa mara.
 
Naona unatafuta matatizo kwa kujitakia mkuu....Nakushauri uachane na hayo mawazo kabisa.
.
Tatizo nini kampani au umepungukiwa kodi? kama ni kampani mchukue mdogo wako wa kuzaliwa nae uishi nae, na kama ni kodi basi subiri ukishakuwa na pesa iliyokamilika nenda kalipe.
.
ACHANA NA KU-SHARE MKUU
Asante kwa ushauri mzuri
 
Niko tayari..but Mimi ni kidume..nina Kodi ya mwaka na sina vitu vya ndani..pia ni mwaminifu kuliko uaminifu wenyewe..karibu PM
 
NAKAZIA
Naona unatafuta matatizo kwa kujitakia mkuu....Nakushauri uachane na hayo mawazo kabisa.
.
Tatizo nini kampani au umepungukiwa kodi? kama ni kampani mchukue mdogo wako wa kuzaliwa nae uishi nae, na kama ni kodi basi subiri ukishakuwa na pesa iliyokamilika nenda kalipe.
.
ACHANA NA KU-SHARE MKUU
 
sikushauri sista, bora ingekua ktk pitapita ukapata mtu lkn sio hawa wa kutafta, m nahisi njia nzuri ni kuhamia nyumba ya gharama nafuu, lets say elf 30,
 
nina ndugu yangu naye ana hitaji kama lako, ila yeye ana jinsia mbali lakini anatumiaga ya kike.. nitumie namba yako nikuunganishe naye.
 
Ni wazo zuri kabisa wala haujakosea..., bali cha kufanya ni bora ukapata mtu unayemjua / rafiki yako..., nchi za watu wanafanya sana hii kitu ukizingatia wewe ni mtu wa kusafiri.., kuna watu ughaibuni mtu anapiga shift usiku mwingine mchana kwahio kitanda kimoja ni mwendo wa kulala kwa shift..., so long as its a means to an end na mnajua mnachokifanya, hili suala la kujisifu una room yako kwa kumtajilisha mwenye nyumba wakati wewe unafiliska sio good idea....
 
Back
Top Bottom