Habari wanaJF,
Mimi nyumba yangu nilipaka rangi speacial ya paa(roof paint) ya CORAL PAINTS. Ni mwaka sasa umepita tangu nipake rangi kwenye mabati ya nyumba yangu. Sasa hivi nimefunga gutters ili niweze kuvuna maji ya mvua. Wasiwasi wangu ni kwamba je, hiyo rangi haitaweza contaminate maji? Je, kuna madhara gani ya hizo paints? Je, maji haya yanafaa kwa matumizi ya nyumbani?(kupika, kunywa, kuoga etc.)
Je ni aina gani ya chemicals ziko kwenye hizo paints? Je hizo kemikali hazina madhara endapo maji yatachemshwa na kuchujwa?
Please kama kuna mtu anautaalam wa rangi naomba anipe ushauri.