Roof paints and rainwater harvesting, is water safe for drinking if boiled?

Democrat7

Member
Nov 26, 2013
32
95
Habari wanaJF,

Mimi nyumba yangu nilipaka rangi speacial ya paa(roof paint) ya CORAL PAINTS. Ni mwaka sasa umepita tangu nipake rangi kwenye mabati ya nyumba yangu. Sasa hivi nimefunga gutters ili niweze kuvuna maji ya mvua. Wasiwasi wangu ni kwamba je, hiyo rangi haitaweza contaminate maji? Je, kuna madhara gani ya hizo paints? Je, maji haya yanafaa kwa matumizi ya nyumbani?(kupika, kunywa, kuoga etc.)

Je ni aina gani ya chemicals ziko kwenye hizo paints? Je hizo kemikali hazina madhara endapo maji yatachemshwa na kuchujwa?

Please kama kuna mtu anautaalam wa rangi naomba anipe ushauri.
 

JuaKali

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
779
195
Mkuu vuna maji tumia kama kawa kwa shughuri zozote zile, rangi zinazo cause contamination haziruhusiwi kupakwa kwenye paa kutokana na madhara kwa mazingira.
 

Muangila

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,918
2,000
fuata
ushauri wa mkuu JuaKali binafsi ndo ninayotumia
baada ya kuiga utaalamu huo toka shirika moja la kidini ambao nao
wamepaka hizo paints juu ya bati na wanavuna maji kwa matumizi yote.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
K Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof Tech, Gadgets & Science Forum 281

Similar Discussions

Top Bottom