Ronda, Spain

Nyumba za National housing ya Spain au?
Wenzetu wana utaratibu wao katika mipango miji,hata kama sio nyumba za national housing kila raia anayejenga anapewa conditions kama ni kupaka rangi nyeupe ni wote,kama juu ni kuweka kigae cha rangi ya damu ya mzee ni wote na ndio maana miji yao yapendeza
 
Mchokozi, mh. Alitaka pawe maarufu. Ila siasa kitu cha ajabu. Mtu umetumika yaani maisha yako yote yet bado hauna uzalendo na nchi?
Mmmmm unaongea na simu au mimi ubongo wangu ndio mzito kuelewa!!???
 
Lindi kwa Membe mkuu kijiji chake kinaitwa Ronda hahahaha kumbe watu wengi mmeshindwa ku decode hii code ya mleta uzi
Ahaaaaaaa nimekupata mkuu,kumbe na yeye aliiga jina akataka na muonekano wa kijiji chake uwe hivyo!!!!?? tuna safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…