Ronaldo nyuma ya ubora wa Messi na Neymar

Kumaliza ubishi Forward bora duniani kutokea pembeni namba moja Messi namba mbili Neymar

See attachment as ref

View attachment 1350614

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuzisasambue data zako
1. Ina include magoli ya Neymar Ligi ya ufaransa ambayo sio top league
2. Ronaldo kabla ya Birthday ya 28 amecheza mechi nyingi ligi ya uingereza ambayo watu hawafungi magoli mengi,

Kuleta uwiano mzuri zaidi ambao ni fair include magoli ya la liga tu. Maana wamecheza wakati mmoja.

Ronaldo mechi 293 goli 311 ratio average 1.1
Neymar mechi 123 goli 68 ratio 0.56
Messi mechi 469 goli 433 ratio 0.9

Hivyo unaona kati ya hao watatu ni ronaldo tu ndio ana goli nyingi kushinda mechi pale la liga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom