kwa uelewa wangu mimi.....!
huyo messi huyo pamoja na kwamba yupo kwenye kiwango chake cha juu sana...na pamoja na kuibeba barsa MABEGANI na kuwapa raha wakatalunya.....!MESSI HAJAFIKIA KABISA KIWANGO CHA JUU CHA GAUCHO....!messi hajafikia kiwango cha juu cha ufungaji kama cha etoo wakati yupo hapo CATALANS...!
barsa ya sasa hivi inabebwa
kwa uelewa wangu mimi.....!
Huyo messi huyo pamoja na kwamba yupo kwenye kiwango chake cha juu sana...na pamoja na kuibeba barsa mabegani na kuwapa raha wakatalunya.....!messi hajafikia kabisa kiwango cha juu cha gaucho....!messi hajafikia kiwango cha juu cha ufungaji kama cha etoo wakati yupo hapo catalans...!
Barsa ya sasa hivi inabebwa
kwa uelewa wangu mimi.....!
huyo messi huyo pamoja na kwamba yupo kwenye kiwango chake cha juu sana...na pamoja na kuibeba barsa MABEGANI na kuwapa raha wakatalunya.....!MESSI HAJAFIKIA KABISA KIWANGO CHA JUU CHA GAUCHO....!messi hajafikia kiwango cha juu cha ufungaji kama cha etoo wakati yupo hapo CATALANS...!
Hapo red, naamini umetumia dhana ya upenzi zaidi na uafrika lakini si kwa kufuata statistics za uhalisia.
Kwa faida yako, fungua hizi link mbili zitakuonyesha statistics za hao watu wawili.
Samuel Eto'o - Wikipedia, the free encyclopedia
Lionel Messi - Wikipedia, the free encyclopedia
In summary, msimu ambao Etoo alifunga magoli mengi zaidi ni 2008/2009 ambapo katika michuano yote na Barca alifunga magoli 36 katika mechi 52 wakati Messi msimu huo huo wa 2008/09 alifunga magoli 38 katika mechi 51. Msimu ambao Messi amefunga magoli mengi zaidi ni msimu huu ambao mpaka sasa ashafunga magoli 52 katika mechi 52 na msimu bado haujaisha.
kwa uelewa wangu mimi.....!
huyo messi huyo pamoja na kwamba yupo kwenye kiwango chake cha juu sana...na pamoja na kuibeba barsa MABEGANI na kuwapa raha wakatalunya.....!MESSI HAJAFIKIA KABISA KIWANGO CHA JUU CHA GAUCHO....!messi hajafikia kiwango cha juu cha ufungaji kama cha etoo wakati yupo hapo CATALANS...!
barsa ya sasa hivi inabebwa
Halafu huyu CR alizoea kubebwa alipokuwa Man U, Spain ma-star ni wengi hawezi pata upendeleo aliokuwa anapata England nadhani inamuuma.Hehehehe...haya bana..
Ukiangalia sana wanaochonga sana Real Madrid ni wareno Maurinho na C Ronaldo. Wanachonga sana hawa....Ingekuwa soka ni kuchonga, Ureno ingetawala soka la Dunia.
Dah mkuu hapo mwisho kwenye bracket... Mbona kule kwenye sredi letu haupatikani kabisa mkuu?!Wenger si ndio wale wale?....
Soka bana, chama linapokuwa na vifaa vikali watu wanaposhindwa kustahilimi mkikimkiki, solution inayobakia ni kucheza rafu. Na ndicho walichokifanya Real. rafu za kijinga.
Kutoshinda Nou Canp ni sehemu ya soka, kama ambavyo Real walivyoshinda kombe mbuzi la mfalme. Na kama ni kubebwa pale ndipo Barca ilikuwa ibebwe zaidi. Kwakuwa Barca hawakushinda hakuna aliyechonga. Angeshinda ungesikia ya kusikia.
Ukweli ni kuwa Barca ni Timu bora zaidi duniani kwa sasa. Na Timu bora ndiyo huwa inashinda. (kama ambavyo Liverpool inashinda hivi sasa....Timu bora kabisa).
Yaani Man U ikifungwa Wimbley hiyo tarehe 28, naona mtaendeleza huu mjadala kua Barca kabebwa. Ila mkishinda nyie sawa tu itakua Fair play. Tuache utani wale watoto wanavyocheza bila kuwachezea rafu huwezi kuwakaba hata kidogo. Kumkaba Messi bila kumkwatua ujue itakua imekula kwako.!