Ronaldo atua rasmi Al Nassr

Dirisha kubwa La Usajiri kuna Timu itavunja huo mkataba na kumsajiri tena Ronaldo kurudi ulaya.

Timu nyingi za Ulaya hazitumii pesa Kubwa Kwenye dirisha dogo la Usajiri kuepuka Sheria Ya Matumizi ya Pesa…. Trust Ronaldo atakiwashaaa huko ili Arudi ulayaa…. Kacheza Ibramovic hadi ana 40 kwann Isiwe Ronaldo

By the way Mwisho wa Siku kwenye hizi mbilinge mbilinge na Mpira ni Pesa…. Hiyo Pesa Ronadlo anaweza kuchukua mkopo wa Triollion 1 au 2 za Kitanzania na kuwekeza katika biashara zake.

Hapo ndio tofauti ya wachezaji wa Kiafrika na Ulaya inapoonekana, katika Yote wasisahau mpira ni Pesa…. Yuko wapi Matola? Kama Angewekeza kwenye kupata hela Katika mpira wake pengine asingewaza hata kuwa Koch Msaidizi
 
Atalipwa kwenye Dola 1,739,000 kwa wiki na kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote duniani?
 
Timu gani uchukue mzigo?
 
Hongera kwake na pole kocha wa Al Nassr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…