Ronaldinho endorses Messi, Hails Neymar

"For me Messi is the best in the world," he [Ronaldinho] added. "For the last few years he has played at a level of football we have never seen before" - Ronaldinho: Neymar will be the world's best - ESPN FC

Aka ka andunje hata Ronaldo el phenomena amekanyooshea mikono ila Gang Chomba atakuja na ooh kachukua world cup ngapi? Hivi wachezaji bora wote wakichukua world cup itakuwaje hapo....baadhi tu ya ma legends ambao world cup hawakuwai kuishika japokuwa walikuwa wakali.....Van Basten,Cyruff,Hagi,stoickov,Nedved,george weah,Messi,Cr7,Figo,raul,seedorf na wengine wengi

labda kama watu wanamkataa Messi kwa ubishi tu na hakuna kama Messi so far ballon d'or anaichukua kwa mara ya 4 na kuweka rekodi mpya na World best player award nayo yake CR7 alie tu
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye blue kinachomponza ni kuvuma kwenye wrong season. Yaani amevuma kwenye kipindi ambapo ka-messi kapo, poor CR7
 
Aka ka andunje hata Ronaldo el phenomena amekanyooshea mikono ila Gang Chomba atakuja na ooh kachukua world cup ngapi? Hivi wachezaji bora wote wakichukua world cup itakuwaje hapo....baadhi tu ya ma legends ambao world cup hawakuwai kuishika japokuwa walikuwa wakali.....Van Basten,Cyruff,Hagi,stoickov,Nedved,george weah,Messi,Cr7,Figo,raul,seedorf na wengine wengi

labda kama watu wanamkataa Messi kwa ubishi tu na hakuna kama Messi so far ballon d'or anaichukua kwa mara ya 4 na kuweka rekodi mpya na World best player award nayo yake CR7 alie tu

kama World cup sio ishu, basi achezee Milan...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom