Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,954
- 142,084
Al Gore nae bana, eti wewe mpaka kwenu hawakupendi, ila hawa watu hawatabiriki. Wanapenda wale watu wa ajabu ajabu, yaani wale waongo, wababe, na mbumbumbu!.
Bush senior alikuwa smart, Bush W sigara kubwa ilim-athiri, mpaka leo neno nuclear kwake kulitamka ni issue. Uzuri wake alikuwa anajisemea ukweli wake tu, kwamba yeye alikuwa C-student wakati yupo Yale!.Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.
Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.
Romney is done
anaebisha tuweke bet hapa
100 dollar Obama anashinda
Na ndiyo maana Mitt R ameshaanza kuporomoka kwenye polls!!! Waamerika hawadanganywi toto kama sisi Watanzania. They weigh out!!
Lying, incompetent, classless--Willard's got it all, doesn't he? Instead of being dignified in the face of the tragic events in the Middle East, he chose to lie about them. After all, it fits in with his LIE that President Obama went around the world "apologizing" for America. Ruth Marcus is appropriately disgusted here:O'Bummer
Ah, the republican book of fairy tales!Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.
Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.
In the election of 1928, the Republican Party of Herbert Hoover promised voters "a chicken in every pot and a car in every backyard." (We all know how that turned out.) Now, Mitt Romney is pledging that "If I'm President" every college graduate will be guaranteed a job, Iran will have no nuclear weapons and the United States will dominate the 21st century. And when Romney isn't making fantastic promises about what he'll do when he gets to the White House, he's slandering the current occupant, Barack Obama.
Mitt Romney's Big Promises - and Bigger Lies | Crooks and Liars
Kabisa kabisa mkuu huo ndio ukweli wenyewe japokuwa wengi wetu hatutaki kuusikia, kwa sababu kila jambo tunataka kuiga kwao.. lakini tunasahau ni haohao walioambiwa saddam ni hatari sana kwao atawashambulia na wakaogopa na kushabikia apigwe kana kwama Iraq na USA zipo jirani!!! Kweli hawadanganyiki... ndio maana nikasema "ikitokea miujiza akashinda..." ukitazama harakaharaka unaona Obama anashinda lakini je zile kura za MABWANA WAKUBWA ZITAMPITISHA??????? hapo ndipo tofauti ya ushindi wa BO na Mitt R. inapokosekana na kuleta mashaka. Obama anaweza kushinda majority Je hapo???:roll:
Wewe siasa za marekani unazijua kweli? Wamarekani wanadanganywa sana tena. Republicans na Democrats wote ni sawa. Mimi nawaita Democans au Republicrats maana hawana tofauti. Msikilize huyu mama anavyoongea.
Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.
Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.
...wee dogo "Nyani Romney"...umemuona kaka yako Mitt na ile ..."....don't care abt 47%"......lol
Ataanza na nchi zinazomsaidia Iran kuuza mafuta!!Mazee hapo ndo penye utamu wenyewe... na ukweli ni kwamba ikitokea muujiza huyo mheshimiwa akaingia madarakani jueni WW3 haiepukiki kwa sababu kuwatuliza wamarekani mambo yakiharibika ni kushambulia mataifa ya nje!! sasa hatujui ni nani ataangukiwa!!
Hii hapa?
:eek2: TETESI kwenye hilo kundi Tanzania imo! na kwanini asianze na Iran yenyewe?Ataanza na nchi zinazomsaidia Iran kuuza mafuta!!