Romney Kapakatwa

Obama ni kiboko!!! Konde moja, Romney chali!!
 
...Wamejiandaa kuiba uchaguzi kama walivyofanya katika uchaguzi 2000. Si ajabu hadi asubuhi ya November 7 na siku zitakazofuata Rais wa US 2012-2016 akawa hajajulikana...ila BO' yuko kwenye nafasi nzuri sana ya kubaki WH for another term.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…