Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...

Wapi sijaelewa? ameandika kichina?
Hujaelewa aliposema mitt anaitwa msaliti. Kama siyo msaliti kwanini wanamuandama? Jiulize haitakiwi degree haka kama una elimu kama ya Msukuma utajua anashambuliwa kwaajili ya kukisaliti chama chake. Trump anataka Mitt afukuzwe kwenye chama sasa wewe kama kweli umelewa tuambie sababu za Trump kuomba Mitt afukuzwe chamani
 
Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...

Romney anatokea jimbo lenye watu wenye msimamo wa kati, na anajua kwamba lazima awavutie ili aendelee kuwa Senator
 
Hujaelewa aliposema mitt anaitwa msaliti. Kama siyo msaliti kwanini wanamuandama? Jiulize haitakiwi degree haka kama una elimu kama ya Msukuma utajua anashambuliwa kwaajili ya kukisaliti chama chake. Trump anataka Mitt afukuzwe kwenye chama sasa wewe kama kweli umelewa tuambie sababu za Trump kuomba Mitt afukuzwe chamani
HIVI UNAJUA TRUMP SIO MWENYEKITI WA CHAMA?
 
Back
Top Bottom