Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,280
- 34,588
Muangalie vizuri GaboAsa ushamba Hapo upo wapi
Nmemwangalia ndio unaitwa Ushamba Gabo alvo kaa ivo?????Muangalie vizuri Gabo
Eti "hiti meka" aitwaye Rommy Jones, kamuita Muigizaji bora wa Kiume "Mshamba" 😱Sa ndo nn??anyway let me sleep!!
Hivi umeelewaa mwenzangu??Eti "hiti meka" aitwaye Rommy Jones, kamuita Muigizaji bora wa Kiume "Mshamba" 😱
Umenena ukweli mtupuWao wameshazoe pozi za kumkumbatia kila mtu hata kama huna uhusiano naye wa kimapenzi ilimradi aonyeshe kuwa ana confidence,kumbe huo ndio ushamba,unapokuwa unajiheshimu au unajielewa mtu anayekukumbatia kijinga kama alivyofanya Wema ni lazima uonyehe hali flani ya kutokukubali aina ya mkumbatio aliokupa,kwani wengine huchukulia hizo opportunity kukuchafua baadaye...